Kagera: Mchepuko aua Mchepuko kwa wivu wa mapenzi

Kagera: Mchepuko aua Mchepuko kwa wivu wa mapenzi

Mwenye mke na mtoto anasemaje? [emoji16] ila helda katisha sana. Huyu derick nae si angewatimua tu.

Inaonekana huyu Helda muuzaji mzuri tu
Usikute Alex aliyemsindikiza nyumban naye alikula mzigo, jamaa akaona isiwe tabu demu si kalewa ngoja nipige fasta fasta sema jamaa ndo akawahi jumba bovu likamwangukia yy, hatari
 
Usikute Alex aliyemsindikiza nyumban naye alikula mzigo, jamaa akaona isiwe tabu demu si kalewa ngoja nipige fasta fasta sema jamaa ndo akawahi jumba bovu likamwangukia yy ,hatari
Hata mi nina wasiwasi na Alex, Helda alivo na moyo mzuri asingeweza kumnyima kikojoleo shemeji yake Alex kirahisi hivo
 
Mda wa majaribu ukifika shetani hutumia namna yoyote ile, huyo Helda kaangamia na huyo kijana atateseka Sana na kumla hajamla.
 
MAREHEMU ALIKUWA MTAMU SANA LAKINI ALIKUWA MZINZI BALAAA
 
Picha ya marehemu ili tujue tumlaumu muuaji kwa kiasi gani.
 
Malimi alisema kwa sasa Derick anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Helda na mtoto wake Gradnes na upelelezi ukikamilika atafikishwa mahakani kwa ajili ya kuchukuliwa hatua za kisheria.


Yaliyosimuliwa ni kama upelelezi umekamilika
 
Usikute Alex aliyemsindikiza nyumban naye alikula mzigo, jamaa akaona isiwe tabu demu si kalewa ngoja nipige fasta fasta sema jamaa ndo akawahi jumba bovu likamwangukia yy, hatari
Ila hata kama marehemu hua hasemwi lakin Hilda kazid bana. Yaan siku hiyo hiyo unapigwa saundi na kumegwa siku hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom