Kagera: Mchepuko aua Mchepuko kwa wivu wa mapenzi

Kagera: Mchepuko aua Mchepuko kwa wivu wa mapenzi

Alafu usikute wote wamepiga kavu aisee dunia hii kakitu kenyewe hata sura hakana
 
  • Thanks
Reactions: BRB
Ila hata kama marehemu hua hasemwi lakin Hilda kazid bana. Yaan siku hiyo hiyo unapigwa saundi na kumegwa siku hiyo hiyo
Hilda ametisha
..lakini huenda alikua ana shida ya akili au stress....yaan kugingwa ndani ya nyumba ya mcheps Tena ni mgen humjui vzr?lol...dada zake tutalijadili hili tuone amekwama wapi🤸💃
 
Usikute Alex aliyemsindikiza nyumban naye alikula mzigo, jamaa akaona isiwe tabu demu si kalewa ngoja nipige fasta fasta sema jamaa ndo akawahi jumba bovu likamwangukia yy, hatari

Ni kweli mkuu. Alex alijiria vitu akasepa
 
Ni uzembe wa kiwango cha Phd kijana wa miaka 26 kufungwa maisha shauri ya papuchii.
 
Back
Top Bottom