Kagera Mtukula: Wanafunzi wanatumia kifaru cha jeshi kwenye michezo Shuleni

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Niko Missenyi/Mutukula Nchini Tanzania. Nimekuta moja ya vifaru vilivyotumika kumkimbiza Idi Amini Dada kikiwa kwenye eneo la Shule ya Msingi Mutukula.

Sasa kimebaki kuwa chombo cha wanafunzi kucheza michezo kadhaa.

Je, kwanini JWTZ wasikiweke kifaru kicho kwenye makumbusho?
IMG-20230820-WA0029(1).jpg

Hii ni An armoured personnel carrier (APC)
 
Miaka ya nyuma ya 90's maeneo Kamachumu, Kagera kwenye shule ya msingi watoto walikuwa wanafukuwa wakakuta chuma wakaanza kurushiana.
Kuja kutahamaki kiliripuka na kujeruhi watoto vibaya sana. Kumbe hicho chuma kilikuwa ni masalia ya mabomu kipindi cha vita ya Kagera.
 
Niko Missenyi/Mutukula. Nimekuta moja ya vifaru vilivyotumika kumkimbiza Idi Amini Dada kikiwa kwenye eneo la Shule ya Msingi Mutukula.

Sasa kimebaki kuwa chombo cha wanafunzi kucheza michezo kadhaa.

Je, kwanini JWTZ wasikiweke kifaru kicho kwenye makumbusho?
View attachment 2723106

Huko hamna biashara ya chuma chakavu bila shaka. Utarudi lini? Niketee ndizi za kuchoma sheikh
 
Miaka ya nyuma ya 90's maeneo Kamachumu, Kagera kwenye shule ya msingi watoto walikuwa wanafukuwa wakakuta chuma wakaanza kurushiana.
Kuja kutahamaki kiliripuka na kujeruhi watoto vibaya sana. Kumbe hicho chuma kilikuwa ni masalia ya mabomu kipindi cha vita ya Kagera.
Aisee umenikumbusha Mbali sn mkuu mitaa ya kamachumu, ndolage, rutabo, rubya, ibuga,
 
Niko Missenyi/Mutukula. Nimekuta moja ya vifaru vilivyotumika kumkimbiza Idi Amini Dada kikiwa kwenye eneo la Shule ya Msingi Mutukula.

Sasa kimebaki kuwa chombo cha wanafunzi kucheza michezo kadhaa.

Je, kwanini JWTZ wasikiweke kifaru kicho kwenye makumbusho?
View attachment 2723106
Hii ni An armoured personnel carrier (APC)

"mabaki ya" sio kifaru hicho
 
Miaka ya nyuma ya 90's maeneo Kamachumu, Kagera kwenye shule ya msingi watoto walikuwa wanafukuwa wakakuta chuma wakaanza kurushiana.
Kuja kutahamaki kiliripuka na kujeruhi watoto vibaya sana. Kumbe hicho chuma kilikuwa ni masalia ya mabomu kipindi cha vita ya Kagera.
Safi sana. Mitoto ya bongo imezidi utundu na ujinga sana awamu na awamu chini ya hiki chama. Uzuri hawakufa na somo walijifunzu. Madogo wanatakiwa kuwa nosey na serious kwenye maswala ya maendeleo na teknolojia sio utopolo wa kufukua fukua vitu.
 
Back
Top Bottom