Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Mkuu hiyo ni hatari lakini sidhani kama jeshi hawajui kuwa sourveneir yao ipo hapo.Niko Missenyi/Mutukula. Nimekuta moja ya vifaru vilivyotumika kumkimbiza Idi Amini Dada kikiwa kwenye eneo la Shule ya Msingi Mutukula.
Sasa kimebaki kuwa chombo cha wanafunzi kucheza michezo kadhaa.
Je, kwanini JWTZ wasikiweke kifaru kicho kwenye makumbusho?
View attachment 2723106
Hii ni An armoured personnel carrier (APC)
Wanasubiri maagizo kutoka juu