figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Au anipe nkonjwa nikuletee? 🤣🤣Ukimuona yule bwana mfupi kuliko wote hapo Mutukula bwana Faudhi mwambie namsalimia bwana .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Huko hamna biashara ya chuma chakavu bila shaka. Utarudi lini? Niketee ndizi za kuchoma sheikhNiko Missenyi/Mutukula. Nimekuta moja ya vifaru vilivyotumika kumkimbiza Idi Amini Dada kikiwa kwenye eneo la Shule ya Msingi Mutukula.
Sasa kimebaki kuwa chombo cha wanafunzi kucheza michezo kadhaa.
Je, kwanini JWTZ wasikiweke kifaru kicho kwenye makumbusho?
View attachment 2723106
Hii ni An armoured personnel carrier (APC)
Aisee umenikumbusha Mbali sn mkuu mitaa ya kamachumu, ndolage, rutabo, rubya, ibuga,Miaka ya nyuma ya 90's maeneo Kamachumu, Kagera kwenye shule ya msingi watoto walikuwa wanafukuwa wakakuta chuma wakaanza kurushiana.
Kuja kutahamaki kiliripuka na kujeruhi watoto vibaya sana. Kumbe hicho chuma kilikuwa ni masalia ya mabomu kipindi cha vita ya Kagera.
Niko Missenyi/Mutukula. Nimekuta moja ya vifaru vilivyotumika kumkimbiza Idi Amini Dada kikiwa kwenye eneo la Shule ya Msingi Mutukula.
Sasa kimebaki kuwa chombo cha wanafunzi kucheza michezo kadhaa.
Je, kwanini JWTZ wasikiweke kifaru kicho kwenye makumbusho?
View attachment 2723106
Hii ni An armoured personnel carrier (APC)
Safi sana. Mitoto ya bongo imezidi utundu na ujinga sana awamu na awamu chini ya hiki chama. Uzuri hawakufa na somo walijifunzu. Madogo wanatakiwa kuwa nosey na serious kwenye maswala ya maendeleo na teknolojia sio utopolo wa kufukua fukua vitu.Miaka ya nyuma ya 90's maeneo Kamachumu, Kagera kwenye shule ya msingi watoto walikuwa wanafukuwa wakakuta chuma wakaanza kurushiana.
Kuja kutahamaki kiliripuka na kujeruhi watoto vibaya sana. Kumbe hicho chuma kilikuwa ni masalia ya mabomu kipindi cha vita ya Kagera.
Kwani wao wajinga hawaogopi kesi ya uhujumu uchumi.Watu wa skrepa hawajikiona
Ova
APC ndiyo nini mkuu.Nadhani hayo ni mabaki APC siyo kifaru mkuu.
ThubutuuWatu wa skrepa hawajikiona
Ova
Watu wanabeba Twiga anapelekwa kwenye mbuga za Dubai huko unazungumzia chuma chakavu na ndege kubwa la kupakia mizigo linashuka KIA hapo wasemaji wanakuja na tamko lilishusha Watalii yaani wageni waje na ndege ya kupakia mizigo?.Kwani wao wajinga hawaogopi kesi ya uhujumu uchumi.