Kagera Mtukula: Wanafunzi wanatumia kifaru cha jeshi kwenye michezo Shuleni

Mkuu hiyo ni hatari lakini sidhani kama jeshi hawajui kuwa sourveneir yao ipo hapo.

Wanasubiri maagizo kutoka juu
 
Waziri wa ulinzi katokea mkoa wa Kagera ila hajui wala haelewi hichi ni nini.
Alipita mitaani akitetee lile lidude la Mkataba wa samia .
Asipokuja kuomba msamaha kura ataambulia nne tu
 
Waziri wa ulinzi katokea mkoa wa Kagera ila hajui wala haelewi hichi ni nini.
Alipita mitaani akitetee lile lidude la Mkataba wa samia .
Asipokuja kuomba msamaha kura ataambulia nne tu
🤣🤣Mtu mwenyewe hata kuongea vizuri hawezi,sijui wanawapaje hivyo vyeo👌jamaa ni domo zege
 
Kumbukumbu nzuri
 
Sio shule ya tumaini Bukoba mjini?...siku hiz imeamishwa na kujengwa upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…