gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Dogo alitaka simu ya kubetia,kustrim na kuweka vpn adaunlod xKifo ni kifo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo alitaka simu ya kubetia,kustrim na kuweka vpn adaunlod xKifo ni kifo tu
Hujaelewa swali au hujui tofauti kati ya kuua na kuua bila kukusudia?Hio kesi ni kujichukulia sheria mikononi, hata hivyo bado ni maelezo mwalimu, na huyo marehemu ni mtuhumiwa kwa maana hii habari haijathibitishwa..
Ma doctor wakifanya uchunguzi wataeleza kama alipigwa nondo kichwani au kifuani n.k
Sio rahisi hivyo unavyodhani. Hapo mwalimu ana kama miaka mitano ya kukaa mahabusu kesi ikisikilizwa... uchunguzi wa kesi za mauaji huchukua muda. Baada ya hapo anaweza kuhukumiwa kunyongwa mpaka kufa ambapo hatanyongwa na kuishia kukaa magereza kwa miaka mingi. Ikitokea katoka kwa msamaha wa Rais ni baada ya miaka mingi. Lakini labda pia tumsikilize Mpwayungu Village anaweza kuwa na maoni tofautiSure kwanza huyo dogo kwanini avunje kufuri.
Hapo mwalimu hana kesi.
Ni mwalimu wa shule ya msingi kamuua Mwanafunzi wa Sekondari.Mara shule ya msingi mara secondary which is which
Kwani mada imekujaje!?Hayo maelezo ameyetoa Mwalimu? Maana hapo ndani si walikuw Mwalimu na huyo "Mwizi"? Sasa hizo "chumvi na Binzari" nyingine zinatokea wapi?
Sio rahisi hivyo unavyodhani. Hapo mwalimu ana kama miaka mitano ya kukaa mahabusu kesi ikisikilizwa... uchunguzi wa kesi za mauaji huchukua muda. Baada ya hapo anaweza kuhukumiwa kunyongwa mpaka kufa ambapo hatanyongwa na kuishia kukaa magereza kwa miaka mingi. Ikitokea katoka kwa msamaha wa Rais ni baada ya miaka mingi. Lakini labda pia tumsikilize Mpwayungu Village anaweza kuwa na maoni tofauti
Kesi haijaanza hata kusikilizwa umeshatoa hukumuUkubali kuibiwa simu ya laki tatu au unende jela maisha?
Mwalimu: laki tatu ni mahahara wangu wote, ntaenda jela.
Sasa kakosa simu, na maisha
Hata vibaka wa Tandale wanapigwa na kuuawaMaelezo yanasema "mwanafunzi alikua anajaribu kukimbia".
Labda kama useme "mwanafunzi alikua anajaribu kumshambulia mwalimu" tungeongea mengine.
Pia inaonekana kijana ni mdokozi tu sio yule mwizi wa kusema ni tishio kiusalama wa uhai ndio maana mwalimu kaweza kumdhibiti na kumtwanga.
Angekua amekubuhu kama vitoto vya Tandale au Manzese si tungekua tunaongea mengine hapa!?
Mwalimu kashaharibu mwelekeo mzima wa maisha yake.... nashindwa kuelewa ni hasira za kiasi gani hadi kuchukua nondo kumpiga mtu ambaye tayari umeshamdhibiti tena mwanafunzi? Waalimu wengi wana shida kisaikolojia.Yes Kama Hana pesa ya kutoa hii kesi itamsumbua
Upelelezi wa kesi ya mauaji huchukua 2-5yrs yaani ni hatari Sana
Murder case sio mchezo
Mwalimu kashaharibu mwelekeo mzima wa maisha yake.... nashindwa kuelewa ni hasira za kiasi gani hadi kuchukua nondo kumpiga mtu ambaye tayari umeshamdhibiti tena mwanafunzi? Waalimu wengi wana shida kisaikolojia.
Tuna uhakika gani kuwa mwanafunzi alienda kuiba simu au mwalimu alimdhulumu na kumfanyia kitu mbaya alafu akampatia kipigo cha mbwa mwizi? Marehemu hawezi kujitetea!Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Msingi Igurwa, Adrian Tinchwa (36) kwa tuhuma za kumuua, Phares Buberwa mwanafunzi wa kidato cha tatu Shule ya Sekondari Igurwa.
Taarifa iliyotolewa jana Jumanne Septemba 24, 2024 na Kamanda wa Polisi mkoani humo, Blasius Chatanda imesema mwalimu huyo ambaye ni mkazi wa Kata ya Kanoni wilayani Karagwe, inadaiwa alimshambulia marehemu kwa kumpiga ngumi kwenye paji la uso na kutumia nondo kumpiga nayo miguuni na mikononi baada ya kumtuhumu kuiba simu yake.
Soma pia: Mwalimu adaiwa kumpiga ngumi mwanafunzi na kumng'oa jino, eti Kisha kapata alama 29 za Hisabati
"Tukio hili lilitokea Septemba 18, 2024 saa 8:00 mchana katika kijiji cha Kanoni Wilaya ya Karagwe, ambapo mtuhumiwa awali mnamo tarehe hiyo saa 3 asubuhi, imedaiwa alifika nyumbani kwake na kukuta kufuli la mlango wa nyumba yake likiwa limevunjwa na alipotaka kuingia ndani alikutana na Phares Buberwa mlangoni akiwa anatoka ndani huku akijaribu kukimbia," amesema.
"Na ndipo mtuhumiwa alimkamata na kuanza kumshambulia hadi kusababisha kupata majeraha makubwa mwilini mwake na baadaye mtuhumiwa alimpeleka hadi nyumbani kwa wazazi wake na kumkabidhi kisha wazazi wake walimpeleka katika Kituo cha Afya cha Rwambaizi kwa ajili ya kupatiwa matibabu ambapo alifariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu," amesema Kamanda Chatanda.
Source: Mwananchi
Cocastic uje unitembelee kwangu. Tayari nimenunua mashuka mapya na Duvet. Uje uyaone.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kati ya daktari na mwalimu nani aliyeua? mtu kafia mikononi mwa daktari, mwalimu alimfikisha kwa wazazi wake mzima, wazazi ndio waliompeleka kwa daktari. mie naona chanzo za kifo ni kukosa huduma stahiki za afya na si kipigo cha mwalimuHiyo ni kuua bila kukusudia akipata wakili mzuri kesi nyepesi hiyo
Sio wote wana roho hiyo jombaa, wengine ndo mwanzo wa kupata confidence na kuua hovyo hata akikosewa jambo dogo.Ila itamtesa maisha yake yote,kumuua Binadamu sio jambo dogo,itamtafuna maisha yake yote.
Inasikitisha sanaUkubali kuibiwa simu ya laki tatu au unende jela maisha?
Mwalimu: laki tatu ni mahahara wangu wote, ntaenda jela.
Sasa kakosa simu, na maisha
Kesi ipo, na ndani atakaa. Sheria ya wapi inasema kuvunja kufuli adhabu yake ni kuuwawa?Sure kwanza huyo dogo kwanini avunje kufuri.
Hapo mwalimu hana kesi.
Ndio.Unazifafahamu tofauti kati ya *kuua na *kuua bila kukusudia?