Kagera: Mwalimu atapeliwa zaidi ya milioni 100 kupitia simu yake ya mkononi

Kagera: Mwalimu atapeliwa zaidi ya milioni 100 kupitia simu yake ya mkononi

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Jeshi la polisi mkoani Kagera limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kumtapeli mwalimu mstaafu zaidi ya Shilingi milioni 100 kupitia simu yake ya mkononi ambayo imeunganishwa na akaunti yake ya benki.

Matapeli hao wanadaiwa kumhadaa mwalimu huyo kwa kumwambia wanamtengenezea simu kisha kumuibia pesa zake.

Soma Pia: Kisutu: Matapeli 12 wanaotuma Meseji za kitapeli kwenye simu, Wapandishwa Kizimbani



#AzamTVUpdates
 
Taarifa zetu zote saivi ziko Hewani huko.. zinaelea. Just don't entertain any Ass whole asking for your privacy.. phone no..acc..
Whatever.

Acheni ujinga. Na hao wezi wako ktk hizo companies..
 
Back
Top Bottom