Kagera: Mwalimu atapeliwa zaidi ya milioni 100 kupitia simu yake ya mkononi

Kagera: Mwalimu atapeliwa zaidi ya milioni 100 kupitia simu yake ya mkononi

Ndomana kuna tajiri yangu mmoja mzee,hataki kujiunganisha na mambo sim banking Internet banking, mara app ya benki anasemage kupigwa ni dk 0 [emoji1]
Yeye ni mguu kwa mguu benki

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Me Nikiwa tu na milioni moja benk naigawa mara nne naiweka sehemu tofauti tofauti
Sembuse ningekuwa na iyo 100m hakika ningeifukia nusu na cement chin ya kitanda changu
 
Jeshi la polisi mkoani Kagera limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kumtapeli mwalimu mstaafu zaidi ya Shilingi milioni 100 kupitia simu yake ya mkononi ambayo imeunganishwa na akaunti yake ya benki.

Matapeli hao wanadaiwa kumhadaa mwalimu huyo kwa kumwambia wanamtengenezea simu kisha kumuibia pesa zake.

Soma Pia: Kisutu: Matapeli 12 wanaotuma Meseji za kitapeli kwenye simu, Wapandishwa Kizimbani



#AzamTVUpdates
Wastaafu waelimishwe, kabla ya kustaafu. Waweke pesa zao katika mifuko ya uwekezaji hasa UTT. Na wasikubali kukimbizana na mafuso, try za mayai, matunda nk
 
Kumbe walimu wastaafu wana hela 🤣
 
Back
Top Bottom