Kagera: Mwalimu atapeliwa zaidi ya milioni 100 kupitia simu yake ya mkononi

Kagera: Mwalimu atapeliwa zaidi ya milioni 100 kupitia simu yake ya mkononi

Bank nyingi mwisho kutoa kwa simu ni 5M.... Hiyo bank inayoruhusu hadi 100M nataka niijue
Bank nyingi mwisho kutoa kwa simu ni 5M.... Hiyo bank inayoruhusu hadi 100M nataka niijue
bank gan mtu anaweza droo mill 100 kwenye simu me najua mwisho mill 4 kutoa kwa simu
Mobile banking/internet banking/online banking unaweza kufanya transactions unazotaka kwa kutumia simu yako.
 
Jeshi la polisi mkoani Kagera limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kumtapeli mwalimu mstaafu zaidi ya Shilingi milioni 100 kupitia simu yake ya mkononi ambayo imeunganishwa na akaunti yake ya benki.

Matapeli hao wanadaiwa kumhadaa mwalimu huyo kwa kumwambia wanamtengenezea simu kisha kumuibia pesa zake.

Soma Pia: Kisutu: Matapeli 12 wanaotuma Meseji za kitapeli kwenye simu, Wapandishwa Kizimbani



#AzamTVUpdates
Hawa vijana wa kusajili line hawa ma freelancer wamegeukia utapeli.
Juzi juzi wamempiga dada anayefanya kazi kweye moja ya duka langu.
wamemwambia wanunga vifurushi vya chuo, akawapa simu, wakapita na ela yote na bado wakasongesha. Juzi kaja kugundua kuwa pia walipita na ela ya wanakikundi cha familia iliyokuwa Mpawa.
 
Siku Bank zikiwajali wateja wake basi hela zitakuwa salama sana
Nchi zingine Bank ndio wanasimamisha miamala hata kama ni wewe unaetoa hizo hela mpaka wapate idhini yako kwa kukuuliza maswali
Hii inasaidia sana kwa wanaojali hela zenu
Ulaya wako mbele ya wakati kwa kweli
Unatuma hela zinazuiwa halafu unatumiwa msg kama ni wewe
Kuna siku wali block kabisa account yangu watu wa fraud wakidhani naibiwa
Wakanitumia msg niwapigie
Walipojirudhisha kuwa ni mimi kwa maswali ndio wakaidhinisha
Kwanini mtu mpaka anaibiwa 100m Bank wametulia tu
Ina maana wanafanya nao utapeli?
Mbona system inaweza ku track hela zinazotoka kwa fujo mapema tu?
Maswali ni mengi ila Bank kuu ichunguze haya mambo la sivyo kila leo hela zilizopo Bank kunakosemekana ni salama basi sio salama kabisa
 
Uko sahihi kabisa maana ni halali usiku kucha labda atumie dawa
Na hapo ni kupiga simu Kila saa kujua kinaendelea Nini
Matapeli wengine nao wataingilia hapo kuzipunguza
Hao wezi wapigwe moto kabisa
Hakika wauawe tu
 
Back
Top Bottom