Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Sheria ya limit ya kutoa ikoje Hadi million zote mia zikatoka kwa mfumo wa simu?kunakitu hakiko sawaTaratibu...........
Wana Hali Ngumu...walimu!!!
ππ€£πMwalimu MPUMBAVUU...
Maombi yangu zirudi zote maana sio kwa ess hizi!πππmoyo wangu!
Atakufa kwa pressure aiseeMaombi yangu zirudi zote maana sio kwa ess hizi!
πbank gan mtu anaweza droo mill 100 kwenye simu me najua mwisho mill 4 kutoa kwa simu