Kagera: Mwalimu atapeliwa zaidi ya milioni 100 kupitia simu yake ya mkononi

Ndomana kuna tajiri yangu mmoja mzee,hataki kujiunganisha na mambo sim banking Internet banking, mara app ya benki anasemage kupigwa ni dk 0 😄
Yeye ni mguu kwa mguu benki

Ova
 
Hii chai haiko sukari kamili
 
Pesa mingi hiyo ilikua lazima wadakwe tu, na wangesakwa mno.

Wasingeendekeza tamaa, wangechukua hata 10M tu.
 



Hii -ni kweli inasaidia Sana
 
Pesa mingi hiyo ilikua lazima wadakwe tu, na wangesakwa mno.

Wasingeendekeza tamaa, wangechukua hata 10M tu.

Bila tamaa hutoboi, hiyo ni ajari kazini!
Ilibidi watokomee hata Kenya kwa muda!
 
Bila tamaa hutoboi, hiyo ni ajari kazini!
Ilibidi watokomee hata Kenya kwa muda!
Kama kuna mgao wangesakwa hata kutishia kuua ndg zao, unawajua policcm au unawasikia likija suala la maokoto
 
Taarifa zetu zote saivi ziko Hewani huko.. zinaelea. Just don't entertain any Ass whole asking for your privacy.. phone no..acc..
Whatever.

Acheni ujinga. Na hao wezi wako ktk hizo companies..
Kweli kabisa nimekuwa nikijiuliza kwanini Kila nikilipwa kazi zangu kutumia mitandao ie Simu ndio siku hiyo hapo matapeli watanipigia Simu au kuniandikia sms keep na namna taarifa za wateja zina leak au Kuna watumishi wasio waaminifu wa hizi kampuni za Simu wanatoa taarifa Kwa matapeli
 
Nyie kenge mnashangaa Mwalimu kutapeliwa ilhali nchi yenu inatapeliwa na Waarabu na Wachina na bado hamjishangai! Taifa la vilaza.
 
Wahuni wanajipigia sana mikwanja Kwa walimu so sad🥺
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…