Kagera N'Ogimanyage? Isi owanyu nia? - Kagera unaijua vizuri? Kwenu ni wapi?

Hata kagera ni ya 8 kwa GDP
 
vipi mbona jaziba kwa sana relax, matatizo ya bk ni kama yalivyo matatizo ya Tz nzima. Dar imechoka kuliko bk niligundua hilo wakati wa mvua za masika
 
wahaya kama waisraeli, historia hujirudia, kabla yesu hajashuka Bukoba itakuwa juu kama israel, in swala LA muda tu. ila dogo punguza jazba, walikufanyia nini wahaya??
 
Sasa we si uache kuchangia
Hatupendi ubaguzi wa kikabila mnaouleta JF, kama kuisifia Kagera, kwanini usingeleta uzi kwa lugha ya taifa ya Kiswahili?, mpaka ulete kwa lugha ya kihaya?, hicho ni kiburi cha ukabila, mnaleta ukabila JF!
 
wahaya kama waisraeli, historia hujirudia, kabla yesu hajashuka Bukoba itakuwa juu kama israel, in swala LA muda tu. ila dogo punguza jazba, walikufanyia nini wahaya??
 
Hakuna neno baya hapo mkuu ila najaribu kukwambia mbona unatubanabana wakati hii ni thread yetu ya kujiachia
Mngejiachia kwenye magroup yenu ya WhatsApp, lakini siyo hapa JF, JF ni ya watanzania wote, siyo ya wahaya au kabila fulani.
 
wahaya mpooooo?
 
dogo weka akiba ya maneno dunia inazunguka
 
Wadanganye bibi zako hapa ni moshi vijijini kwa nini unapenda kujisifia sana uhongo kama vile moshi hatupajuiView attachment 786704
 
Na uduni wa makaZi bukoba huwezi kuta za hivi kama moshi vijijini kama huamini cheki udongoView attachment 786902
labda ukadanganye wasiojua Kilimanjaro hakuna mazingira haya,hapo bila shaka n misenyi
Kilimanjaro haina nyumba za nyasi tangu 1986, otherwise useme hapo n kijiji gan/kata gan huwez ji defend kwa hoja finyu.hivyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…