Ungelizibua kofiKuna boya hapa wa utopolo Lina redio limewahi kushangilia goli wakati sisi kwny tv bado limenikera sana
yangaKwamba KAGERA anaweza kushinda au sio???
Ni mabingwa wa kuruka majiHamchelewi kusema Yanga Kashinda kisa Mvua [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mayele hata jina sidhani kama kabakizaMayele amebakiza jina tu.. ukiniambia nichague kati ya Kibu D na Mayele Kwa current form, Kibu D anachukua namba
Ngoja lije kushangilia tena litajuta.. Banda Zima tumelimaind kinoma Kwa umbwiga wakeUngelizibua kofi
Mfupa uliowashida wanatengemea kagera ndo autafune.. Yanga ni mbwa mwitu wanatisha sana kwa sasaWatu wa simba hawana amani
Azam hii tenda waliopewa kishikaji sana ila ukweli SuperSports ndiyo walistahili maana wanamtaji na teknolojia kubwaAzam wamefunga Camera 1 haitoi clear replay kwenye tukio tata lililohusisha na mchezaji wa Yanga kuunawa mpira kwenye box
Mkuu kwani supersport nao waliombaga kuonyesha NBC?Azam hii tenda waliopewa kishikaji sana ila ukweli SuperSports ndiyo walistahili maana wanamtaji na teknolojia kubwa
Azam wameitoa mbali sana ligi yetu.. Leo hii mpira unafatiliwa na watu wengi nchini Azam Wana mchango mkubwa sana.. Wacha wanufaike na waoAzam hii tenda waliopewa kishikaji sana ila ukweli SuperSports ndiyo walistahili maana wanamtaji na teknolojia kubwa