Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

Hamchelewi kusema Yanga Kashinda kisa Mvua [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ni mabingwa wa kuruka maji
giphy.gif
 
Mayele amebakiza jina tu.. ukiniambia nichague kati ya Kibu D na Mayele Kwa current form, Kibu D anachukua namba
 
Azam wamefunga Camera 1 haitoi clear replay kwenye tukio tata lililohusisha na mchezaji wa Yanga kuunawa mpira kwenye box
 
Back
Top Bottom