Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Hakuna penatyKwa hizi tabia za marefa kumeza firimbi tushashuhudia yanga akienda unbeaten hata mechi 300 .hii sio sawa marefa waone aibu basi ,hapa kagera alikuwa anapata penati halali kabisa lakin refa kaona nongwa kutoa penati kwa kagera.Laiti ingekuwa kafanyiwa mayele upande wa pili kule refa angefunika tuta.
Hii ni aibu kwa ligi yetu ,mwenye haki apewe hata kama ni timu ya daraja la kati
Hana goliAna goli ngapi Kibu D?
@Scars Ya kweli Haya?Ukweli ni kuwa Azam ndio walimwaga mpunga mwingi kuliko bidders wengine
Siyo wabinafsishe vibali hivyo viwanja ni Mali ya umma, virudi kwa umma, serikali itaifishe viwanja hivi Mara moja na viwe Mali ya serikali.Uwanja wa Ccm Huo, Pesa Wanayopata kwenye hivi viwanja wanapeleka wapi? Kwa nini wasibinafisishe?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwani CCM Kirumba sio mali ya serikali?Siyo wabinafsishe vibali hivyo viwanja ni Mali ya umma, virudi kwa umma, serikali itaifishe viwanja hivi Mara moja na viwe Mali ya serikali.
Unamaanisha kwa mujibu wa refa au kwa mujibu wa tukio?Hakuna penaty
Mayele ana kipaji cha kukosa magoliMayele bana, huwa nainjoy sana kumuona
πππππ kwa heshima ya shujaa majaliwa mbil tu zinatoshaKwa sababu ya msiba na maombolezo wananchi hatutakuja kuleta maafa makubwa mengine. Tutapiga goli 2 tu
Natanguliza pole kwa wafiwa na majeruhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna siku ambayo ulishawahi kuikubali YangaJapo uwanja mbovu ila Kagera wamepiga pasi zenye accurancy ys juu kuzidi Yanga