Kagera sugar mmeshindwa kuifunga Yanga leo ikiwa imechoka basi Yanga itaendelea kuwa unbeaten mpaka mwisho

Mkuu wewe ulichezea timu Mkuu?
 
Wahuni wa TieFueFu inazikumbusha timu za Simba na Yanga zinazoshiriki mashindano ya "CUF" hakutakuwepo na kuhairishwa kwa mechi zao za ligi iwapo mechi inayofuata itakuwa imepishana kwa siku 2, siku ya 3 mechi ya ligi lazima ichezwe hata kama timu imecheza mechi nje ya Bongo.

Ndio maana timu zimeruhusiwa kusajili wachezaji 30, ukiona shida nenda nje ya nchi na wachezaji 18, wachezaji 12 wabakize Bongo .
 
ratiba ipi sawa aise... Mbona kule ulaya timu inatoka kucheza Europa alhamisi then jumamosi timu hiyo hiyo inakuwa na mechi nyingine...

#Tusidekezane...
Hakuna team imewahi kutoka kucheza alhamis ikacheza mechi ya ligi jumamosi Acha kudanganya labda tuletee mifano.
Wote wanacheza alhamis wanacheza jpili au j3 usiku.

Kinachosumbua Africa ni swala la usafiri team zetu hazina jeuri ya kukodi private jet Ili ziwahi kufika. Mfano yanga walilazimika kupita Dubai kwa sababu ya usafiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…