kumbe ukitaka kushinda usii ngie vyumbani.
Sikufuatilia mechi. Nilikuwa nakatiza Katavi National Park nilipofika njia panda nikauliza matokeo ndio nikaambiwa tumeshinda 2-1.Mechi ilikuwa nzuri?Wafungaji nani?
Hongereni SSc, pts 3 zingine kapuni.. . Asanteni Makoye Matale, Masuke, et al. kwa kutuletea update & objective analysis
Sawa Mkuu, dakika 90 zimeamua. Kuna vurugu uwanjani refa akiwa kwenye msukosuko, je kawapendelea Simba au ni Kagera Sugar hawataki kukubali matokeo?
Si wakate rufaa Hajibu ana kadi 5 za njano. Wenzao wanangoja hatma ya rufaa zao. Vurugu za nini?Ushindi wa mezani si upo?
Nani kakudanganya siye tuna pressure? Wenzako wako ICU wakiomba mpira uishe.
FT: Kagera Sugar 1-2 Simba.
CC. mikia wote, endeleeni sasa hapa jukwaani, siku hii ni yenu.
Kwanini simba hawaingii vyumbani?
Kwanini simba hawaingii vyumbani?
sikubaliani sana na tuta la Simba japo sina hakika kama wakati Hassan Ishaka anaanguka chini aliunawa hivyo kuwanyima Kagera penati, hata hivyo naona kama ile ya Ibrahim Twaha ndio ilikua penati japo hawakurudia na ingawa inaonekana kama mchezaji wa Kagera alibaki na mpira
hawa mikia wachawi sana..
sikubaliani sana na tuta la Simba japo sina hakika kama wakati Hassan Ishaka anaanguka chini aliunawa hivyo kuwanyima Kagera penati, hata hivyo naona kama ile ya Ibrahim Twaha ndio ilikua penati japo hawakurudia na ingawa inaonekana kama mchezaji wa Kagera alibaki na mpira
kanuni ya soka iko hivi ukiwa chini you can not control the galax, so ni kweli aliushika lkn kama umeangalia mpira wa majuu that is what we call a ball to hand as he was beyond control and inent for the hand to ball, ingawa huenda utata uwe kwamba alikua ana face mpira, ila ukiwa umekaa its a diffrenet case, any way kama Makoye anavyosema the decision is final and conclusiveIle ilikuwa ni penati dhahiri, yule mchezaji alizuia mpira kwa mkono.
Mkuu mikono ya mchezaji ingekuwa mahali pake pa siku zote (normal position) ningekubaliana na wewe kwamba mpira ulifuata mikono lakini sasa mikono haikuwa kwenye position yake ya kawaida,kanuni ya soka iko hivi ukiwa chini you can not control the galax, so ni kweli aliushika lkn kama umeangalia mpira wa majuu that is what we call a ball to hand as he was beyond control and inent for the hand to ball, ingawa huenda utata uwe kwamba alikua ana face mpira, ila ukiwa umekaa its a diffrenet case, any way kama Makoye anavyosema the decision is final and conclusive