Kagera Sugar vs Simba

Kagera Sugar vs Simba

Hongereni SSc, pts 3 zingine kapuni.. . Asanteni Makoye Matale, Masuke, et al. kwa kutuletea update & objective analysis
 
Last edited by a moderator:
Sikufuatilia mechi. Nilikuwa nakatiza Katavi National Park nilipofika njia panda nikauliza matokeo ndio nikaambiwa tumeshinda 2-1.Mechi ilikuwa nzuri?Wafungaji nani?

Kipindi cha kwanza Simba wamecheza Vizuri hapakuwa na mmaliziaji wangefunga hata matatu hicho kipindi. Wafungaji Singano na Ajibu( penati)
 
Sawa Mkuu, dakika 90 zimeamua. Kuna vurugu uwanjani refa akiwa kwenye msukosuko, je kawapendelea Simba au ni Kagera Sugar hawataki kukubali matokeo?

Kagera wamezoea kuifunga Simba kwa hiyo hata leo waliamini wangeshinda, amehojiwa Nahodha wao Kavishe anasema anakubali goli la kwanza lakini la pili hataki kukubali. Lakini kiukweli mpira ule ulipigwa na Okwi na beki mmoja wa Kagera Sugar akauzuia kwa mikono, kwa hiyo ile ilikuwa ni penati dhahiri. Hata hivyo washukuru maana kipindi cha kwanza zingefanyika conversion nzuri tulikuwa tunapata ushindi wa magoli mengi zaidi.
 
Nani kakudanganya siye tuna pressure? Wenzako wako ICU wakiomba mpira uishe.

FT: Kagera Sugar 1-2 Simba.

CC. mikia wote, endeleeni sasa hapa jukwaani, siku hii ni yenu.

Mmmh!!!!!! kwa jinsi ulivyoongea kwa unyonge, wacha nikupe pole jamani lol.

Horaraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, hapana chezea munyama hata kama anachechemea.
 
sikubaliani sana na tuta la Simba japo sina hakika kama wakati Hassan Ishaka anaanguka chini aliunawa hivyo kuwanyima Kagera penati, hata hivyo naona kama ile ya Ibrahim Twaha ndio ilikua penati japo hawakurudia na ingawa inaonekana kama mchezaji wa Kagera alibaki na mpira
 
Ile ilikuwa ni penati dhahiri, yule mchezaji alizuia mpira kwa mkono.
 
Timu huwa spirit tu! Leo hakuwepo Mapunda, Hassan Kessy , Juuko, Mkude, na Banda yet wamecheza Vizuri sana kinachowatatizaga wachezaji watu huwa ni biasness ya viongozi wetu. Wangeajiri MTU am aye amesoma management na wakamwacha atumie zile manangent skills zake hola intervention mambo yangekuwa mazuri!
 
sikubaliani sana na tuta la Simba japo sina hakika kama wakati Hassan Ishaka anaanguka chini aliunawa hivyo kuwanyima Kagera penati, hata hivyo naona kama ile ya Ibrahim Twaha ndio ilikua penati japo hawakurudia na ingawa inaonekana kama mchezaji wa Kagera alibaki na mpira

The referee's decision is FINAL and BINDING! When the referee decides that you are all rats; you become so!
 
Nasikia leo mnyama katakata Shinyanga baada ya kupewa penati ya ubwete ubwete
 
Ile ilikuwa ni penati dhahiri, yule mchezaji alizuia mpira kwa mkono.
kanuni ya soka iko hivi ukiwa chini you can not control the galax, so ni kweli aliushika lkn kama umeangalia mpira wa majuu that is what we call a ball to hand as he was beyond control and inent for the hand to ball, ingawa huenda utata uwe kwamba alikua ana face mpira, ila ukiwa umekaa its a diffrenet case, any way kama Makoye anavyosema the decision is final and conclusive
 
Mkuu mikono ya mchezaji ingekuwa mahali pake pa siku zote (normal position) ningekubaliana na wewe kwamba mpira ulifuata mikono lakini sasa mikono haikuwa kwenye position yake ya kawaida,
 
Back
Top Bottom