Kagera Sugar waendeleza ubabe dhidi ya Simba uwanja wa Kaitaba, Wainyuka mabao 2 - 1

Disapointed.. Weekend chungu so simba sio Man U

Poleni, Yanga jana kama ulivyosikia. Liverpool akampiga Everton 3-1. Nasubiri matokeo ya Barça tu, kwa sasa naombea Alaves warudishe dhidi ya Real Madrid kisha wamkalishe for good
 
Sasa naweza hata kuweka neno. Kagera mmetupa heshma Yanga safi sana
 
Mm kama shabiki damu wa simba nakubaliana namatokeo ya Leo ,Ila bado naamini nafasi ya ubingwa ni ya SSC coz bado chance ipo
 
Chelsea kapigwa jana ,leo Simba tena kapigwa ...jamani hata bia naona chungu
 
Mpira kwenye nyasi bandia Simba hatuwezi hats zile za bandarini tuziache tu zipigwe mnada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…