denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,950
Mkuu kupanga ni kuchagua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Enock bwigane ni Yanga na huenda ni gasho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kupanga ni kuchagua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Enock bwigane ni Yanga na huenda ni gasho
Karibu, mechi imeisha[/QUOTE
Kwani kabakiza game ngapi?Simba cjuwi tena nmekata tamas
Thibitisha tena .Kwa wale mnaobet matokeo ni Kagera 1 - 2 Simba kwa mujibu wa Dalali wa Mechi golikipa wa zamani maarufu wa Simba ambae leo nahisi anadakia timu Pinzani
Disapointed.. Weekend chungu so simba sio Man U
Hiyo Bashite ndio namba ngapi jamani ? Miye mwenzenu natokea bara , hizo lugha zenu za mjini sizijui .Kagera Sugar 1 Simba Bashite
Chanzo cha habari kimeripoti kuwa baada ya kuweka Ile post dalali aliona Aibu na ikabidi apindue Matokeo.Thibitisha tena .
Wamecheza mpira wakiwa na stress za nyavu zao kupigwa mnada na TRA hivyo wasameheni tu.
Uko sahihi kabisa mkuu....Simba taifa kubwa, na leo zikipungua sana ni tatu..take my words...