Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
- Thread starter
-
- #121
Sijaangalia mechi nyingi za TZ sijawahi ona kipa aliyecheza kama Kaseja leoHatutaki wazee timu ya taifa,akachezee veterans zipo team nyingi tu
Maskini matopeniHuyu Banda red card inamuhusu
2-1Maskini matopeni
Oooooh kumbe ngoma bado mbichi kabisa dk 6566' Mins | Kagera 2 - 1 Simba
27' Mbaraka Yusuph (Kagera)
45' Edward Christopher (Kagera)
65' Muzamiru Yassin (Simba)
Nnn hii?Kaseja amepangua shuti la Kichuya
Ha ha ha haHatutaki wazee timu ya taifa,akachezee veterans zipo team nyingi tu
Banda amefanya makosa 2 ambayo yote yanastahili red card lakini refa amejifanya kipofuSi ndo huwa wanang'ara?