Kagera Sugar waendeleza ubabe dhidi ya Simba uwanja wa Kaitaba, Wainyuka mabao 2 - 1

Kagera Sugar waendeleza ubabe dhidi ya Simba uwanja wa Kaitaba, Wainyuka mabao 2 - 1

64' Mins | Kagera 2 - 0 Simba

27' Mbaraka Yusuph (Kagera)
45' Edward Christopher (Kagera)
 
Naona vijana naona wamemwaga lubisi uwanjani, simba ni kulewa na kuteleza tu.
 
66' Mins | Kagera 2 - 1 Simba

27' Mbaraka Yusuph (Kagera)
45' Edward Christopher (Kagera)
65' Muzamiru Yassin (Simba)
 
Simba watapata la kusawazisha muda si mrefu. Dalili si Nzuri
 
Back
Top Bottom