Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Hatutaki wazee timu ya taifa,akachezee veterans zipo team nyingi tuKwa kiwango anachoonyesha Kaseja leo anastahili kuchezea Taifa Stars
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatutaki wazee timu ya taifa,akachezee veterans zipo team nyingi tuKwa kiwango anachoonyesha Kaseja leo anastahili kuchezea Taifa Stars
Huu mchezo hauhitaji hasiraMiaka yote tunasubiri ubingwa wao wanaleta upuuzipuuzi tu hawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Oyooooooo bora tunywe maji jamani,hali ulikuwa tete mjini hapa.
Nilikuwa nakusubiri kwa hamu kubwa, kwani sio kwa utulivu huo.Oyooooooo bora tunywe maji jamani,hali ulikuwa tete mjini hapa.
Mikia FC leo hawalali. Kuna watu watapata upungufu wa nguvu za kiume leo Kagera wakishinda.Haahahaahaa..... Im taking his words too...
Ha ha haWapuuzi hawa unaona ubingwa huo hapo unaenda kufungwa na Kagera? Timua benchi lote la ufundi majuha hawa
Huyu mzee acheze timu ya taifa IPI?Kwa kiwango anachoonyesha Kaseja leo anastahili kuchezea Taifa Stars
[emoji16] [emoji16]56' Mins | Kagera 2 - 0 Simba
27' Mbaraka Yusuph (Kagera)
45' Edward Christopher (Kagera)
Ungeangalia mechi ya leo ungekubaliana nami,Buffon anakaribia miaka 40 ndio kipa namba moja Juventus na timu ya taifa ItaliaHuyu mzee acheze timu ya taifa IPI?