Kama hujui sheria na kanuni za mpira usiwe unapost . Kilichotokea ni kuwa nyaraka ziliwekwa mezani kadi tatu zikaonekana zilivyotolewa sasa kagera waitwe kufanya nini? Mbona timu kupokwa point ipo kwenye kanuni na haijaanza kwa Kagera? Yanga acheni kujiaibishaWakati ile "kamati ya masaa 72" inatoa report yake, walipaswa pia kuonyesha bila chenga mechi zile ambazo mchezaji wa Kagera Sugar alipewa kadi ya Njano. Infact kabla ya maamuzi yao walipaswa pia kuita mwakilishi wa Kagera Sugar kusikiliza utetezi wao. Mpira wa Bongo bado sana.
Wapo sahihi,wamesubiri maamuz yatoke then wakate rufaa.Walikuwa wapi hadi kamati inatoa maamuzi?
Haya mambo ulaya hayapo kwa sababu kule wapo smart mchezaji akiwa na tatizo la kumzuia kucheza anaandikiwa barua kukumbushwa kabla ya mechi inayofuata bongo upuuzi mwingi upo mchezaji kusajili timu mbili tofauti kwa wakati mmoja mchezaji mwenye kadi 3 za njano kucheza yapo sana bongoHaya mambo sijawah kuyaskia ULAYA.
Hivi inawezekanaje mchezaji apangwe while ana matatizo ya kadi?Had tim inapokwa points?
Nani huwa anawajibika kwenye masuala ya recordings za mchezaji wa tim mwenye kado?Kocha?Mwenyekiti?Katibu?au MCHEZAJI MWENYEWE?
Mie sijawah kuskia hii whether UEFA au EPL,LA LIGA,SERIA A,LIGI 1
Kama ni kweli basi kosa si la Simba , ni utaratibu mzima wa kutunza kumbkumbu, na kamati nzima kwa Ujumla.Wapo sahihi,wamesubiri maamuz yatoke then wakate rufaa.
Simba anataka kutembelea NYOTA YA SERENGET BOYZView attachment 496209
Kwahyo suala la real Madrid mwaka Jana umelisahau au Madrid ni ya tukuyuHaya mambo ulaya hayapo kwa sababu kule wapo smart mchezaji akiwa na tatizo la kumzuia kucheza anaandikiwa barua kukumbushwa kabla ya mechi inayofuata bongo upuuzi mwingi upo mchezaji kusajili timu mbili tofauti kwa wakati mmoja mchezaji mwenye kadi 3 za njano kucheza yapo sana bongo
Nlijua tu lazma muwe wakali hamuwezi kubali tuangalie upya ile mechi mnajua kitakachotokea mi nashangaa sana vikaovikao viiiingi vya nn na cd za zpo azam? Wala isingechukua muda mrefu kutoa maamuzi!Changudoa kalete wewe sisi ya nini wakati tuna point tatu.... Nyie mmetushindwa na wachezaji 10 mnatafuta msaada.
Ndg yng weeeee cd zpo azam ple ila hawawezi kubali tuzipitie upya jeuri hyo hawana!Wakati ile "kamati ya masaa 72" inatoa report yake, walipaswa pia kuonyesha bila chenga mechi zile ambazo mchezaji wa Kagera Sugar alipewa kadi ya Njano. Infact kabla ya maamuzi yao walipaswa pia kuita mwakilishi wa Kagera Sugar kusikiliza utetezi wao. Mpira wa Bongo bado sana.
Kama ni Kweli nimependa hii [emoji23] [emoji23] [emoji23] MPIRA PESAHabari inaenda hivi ....Yanga waliwapa Kagera Sugar milion 10....ili kagera sugar waibanie simba, Simba wakagundua wakapanda dau wakawapa Kagera million 15 ili washinde ...lakini Kagera wakawaambia simba yanga wamewapa kiasi fulani cha pesa ... Sasa basi ilikuua soo Kagera wakakubaliana na simba kuwa watamchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano....harafu simba wakubali kufungwa ili kagera waue soo kwa yanga harafu simba waende TFF kudai kuwa Kagera wamemchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano ndiyo ilivyokuwa kwahiyo Kagera within siku tatu kapiga milioni 25 bila kutoa jasho......sasa yanga inawauma kwa umafya waliofanyiwa na Simba baada ya kucheza picha la kihindi na Kagera....
Barua ya Kagera Sugar umeisoma na kuielewa? Wao wamesema wanajua kadi mbili na wametaja mechi husika. Kama wangekuwa wametaarifiwa zile kadi tatu zilikuwa kwenye mechi ipi na ipi nina uhakika barua yao ingebeba aina ya utetezi tofauti..Kilichotokea ni kuwa nyaraka ziliwekwa mezani kadi tatu zikaonekana zilivyotolewa sasa kagera waitwe kufanya nini..
Kagera wanajua mchezo waliocheza hapo wanaipoteza Yanga tuuBarua ya Kagera Sugar umeisoma na kuielewa? Wao wamesema wanajua kadi mbili na wametaja mechi husika. Kama wangekuwa wametaarifiwa zile kadi tatu zilikuwa kwenye mechi ipi na ipi nina uhakika barua yao ingebeba aina ya utetezi tofauti
Kagera wapuuzi sana...yaani ni jukumu la TFF kuwajulisha wana kadi ngapi za njano?hawa mapimbi niniBarua ya Kagera Sugar umeisoma na kuielewa? Wao wamesema wanajua kadi mbili na wametaja mechi husika. Kama wangekuwa wametaarifiwa zile kadi tatu zilikuwa kwenye mechi ipi na ipi nina uhakika barua yao ingebeba aina ya utetezi tofauti
Hii kitu inaonekana imekuuma sana. PoleKagera sugar wainuka, watinga TFF kutaka warejeshewe pointi zao walizopewa Simba
Kweli kwa mbeleko hizi mpira wetu utaendelea?
Acheni bingwa apatikane kwa haki,na sio kwa mbeleko hizi.
Ina maana Kagera Sugar haruhusiwi kumfunga simba?Chezeni mpira acheni kutafuta njia za mkato kufikia ubingwa.
Alluta continua...
Huu mchezo Azam hawakuuonyeshaManeno mengi ya nn wajameni? km kweli nyie vidume twendeni azam kuna cd ple tupitie tena ule mchezo tuone km kweli alipata kadi hili suala halihitaji kujifungia chumbani wala kuchukua muda mreeeefu km ilivyochukua vikao daily dawa ni cd tu za ule mchezo ila najua hamuwezi thubutu kuzungumzia suala la cd!
Uletewe kwako ukiwa kama nani.... Wewe usioamini ndo utafute cd za kagera ili kujiridhishaTuleteeni cd hatutaki maamuzi ya kujifungia chumbani!
Unafahamu umeandika nini? Kupungukiwa na mchezaji tegemeo kwenye mechi kama ile ni mteremko kwa mpinzani.... Pole bila msaadaHivi uamuzi wa TFF umefanywa bila kushirikisha pande zote? Kama pande zote zilishirikishwa, je, ushahidi was kadi tatu za njano ulikuwepo?
Sheria zingine mavi sana. Hivi kama ni mchezaji halali kadi za nini zimzuie.
Hahahahhhhh Kumbe Simba ilifungwa na kadi tatu za NJANO siyo Kagera Sukari
Hiiihiiihhh
Andika kiswahili tuyour correct but out of topic.