OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,339
Kama hujui sheria na kanuni za mpira usiwe unapost . Kilichotokea ni kuwa nyaraka ziliwekwa mezani kadi tatu zikaonekana zilivyotolewa sasa kagera waitwe kufanya nini? Mbona timu kupokwa point ipo kwenye kanuni na haijaanza kwa Kagera? Yanga acheni kujiaibishaWakati ile "kamati ya masaa 72" inatoa report yake, walipaswa pia kuonyesha bila chenga mechi zile ambazo mchezaji wa Kagera Sugar alipewa kadi ya Njano. Infact kabla ya maamuzi yao walipaswa pia kuita mwakilishi wa Kagera Sugar kusikiliza utetezi wao. Mpira wa Bongo bado sana.