Kagera sugar wainuka, watinga TFF kutaka warejeshewe pointi zao walizopewa Simba

Hao viongozi wa Kagera sugar wanachojaribu kukifanya hapa ni kujikosha kwa mashabiki wao(kama wapo) na watu walioguswa na blunder ya makusudi waliyoifanya.Lawama zote ni kwao kwa sababu walijua kama huyo mchezaji ana kadi tatu za njano na bado wakamchezesha ili vyovyote iwavyo simba wafaidike na huo mchezo.Ukiisoma barua yao sio kwamba wanakataa uwezekano wa kadi tatu kuwepo.Wanasema KWA KUMBUKUMBU WALIZONAZO mchezaji wao ana kadi mbili tu za njano.Wanataka kujikosha kuwa hawakujua kama mchezaji wao ana kadi tatu za njano.Viongozi wa hizi timu zinazoitwa zamikoani wana usimba na uyanga wa kifala sana.Unaweza kuona hata taifa linavyopata wawakilishi dhaifu sana.Ni mipangomipango tu inayozipa hizo timu kongwe(sio kubwa) nafasi za uwakilishi.

Ni usaliti mkubwa kwa wachezaji ambao wanajitoa kulinda heshima ya timu kumbe kuna mtu au watu wanaamua kufanya technical mistake ili walinde maslahi yao na timu za mioyoni mwao.

Hii ni barua ya kujikosha tu hawana lolote viongozi wa Kagera
 
Timu ya hovyo wakati inawajambia mdomoni magoli kila kukicha? Hata wakipokonywa hizo point za Kagera Sugar nani yupo kileleni mwa msimamo wa ligi VPL? ukishapata jibu hilo ndio uconclude ni timu ipi ya hovyo!!
Sio kila hoja inajibiwa kwa povu mtani.

Simba ni timu ya hovyo. Haiwezekani mpira ukushinde uwanjani ukaanzishe ligi nyingine mezani. Mngeshinda ile mechi mngeenda TFF kulalama? Mi mwanzo nikajua Kagera wamewafunga kwa kuwa walicheza 13 kumbe sababu zenyewe ni za kike.
 
Kunyweni sumu
 
Mkuu unajua maana ya rufaa..?
Ulishawahi sikia hata siku moja mtu ameshinda kesi halafu huyo huyo akate rufaa..?
Malalamiko ya Simba Koko ni kwamba KANUNI zilikiukwa. Na ndio msingi wa swali langu kwa kuwa hakuna DIRECT RELATION ya Kadi 3 za Njano na kufungwa kwa Simba.

Hili ni jambo tofauti na kama ingekuwa Kagera waliingiza watu 13 uwanjani. Simba wanaathirika nini na kanuni iliyokiukwa? Kwa kifupi ni kanuni ya kipumbavu na Simba Koko walichofanya ni kuporomoka na slop
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu!! Najua mengi yatasemwa ila kwa ubabaishaji wa sok la bongo la kutokuwa makini ndio hupelekea haya yote kwani sio case ya kwanza hii!! Yaani simba akubali kufungwa eti kubalance mambo?? Simba angekuwa na uwezo angeshinda tu mechi hiyo na sio eti ili kubalance ili kagera asiwadai?!!
 
Ubingwa wa mezani, wewe kweli huna akili.
[emoji23][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nafwaaaz you know
ten ntaomba wana yanga sku hio maeneo ya msimbazi mnalala chini ishara ya heshima tunapita kwa juu tukiwa tumelibeba kombe kama walivomfanyia nape kule jimboni kwake...
 
[emoji23][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nafwaaaz you know
ten ntaomba wana yanga sku hio maeneo ya msimbazi mnalala chini ishara ya heshima tunapita kwa juu tukiwa tumelibeba kombe kama walivomfanyia nape kule jimboni kwake...

Hapa mtu utalala wapi? Kwa taarifa yako ukikamatwa unapita njia ya Mwendokasi wafwaaaa! Huu mchezo wenu unaitwa Table Football au Pangua?
 
Ft Rufaa fc 0 toto african 0
 
TFF wajiandae kukaa tena masaa 72, Toto kamshika mtu pabaya huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wamepunguza spidi tu
lakin watu wameropoka karibia wanakata roho mipovu kibao ...na ni sare tu ...simba angefungwa si ingekua sikukuu kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wamepunguza spidi tu
lakin watu wameropoka karibia wanakata roho mipovu kibao ...na ni sare tu ...simba angefungwa si ingekua sikukuu kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Spidi ya kukata rufaa au ya nini? Maana kama ni mpira mnajikokota kiasi ambacho hakifai kuitwa spidi.

Kagera 2 - 3 Simba Koko + TFF
Mbao 2 - 3 Simba Koko + Rushwa kwa Kipa
Toto 1 - 1 Simba Koko

Kuna taarifa mmechezesha wachezaji wengi wa kigeni kwenye first eleven kinyume na taratibu. Tunasubiri km kamati ya saa 72 itawarudisha mchezoni
 
Mwaka huu hata mjinyee muongee mpovuke ubingwa unaenda msimbazi
nyie endeleeeni kucheza kimataifa nyie si wa kimataifa bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…