Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,073
- 1,862
Hao viongozi wa Kagera sugar wanachojaribu kukifanya hapa ni kujikosha kwa mashabiki wao(kama wapo) na watu walioguswa na blunder ya makusudi waliyoifanya.Lawama zote ni kwao kwa sababu walijua kama huyo mchezaji ana kadi tatu za njano na bado wakamchezesha ili vyovyote iwavyo simba wafaidike na huo mchezo.Ukiisoma barua yao sio kwamba wanakataa uwezekano wa kadi tatu kuwepo.Wanasema KWA KUMBUKUMBU WALIZONAZO mchezaji wao ana kadi mbili tu za njano.Wanataka kujikosha kuwa hawakujua kama mchezaji wao ana kadi tatu za njano.Viongozi wa hizi timu zinazoitwa zamikoani wana usimba na uyanga wa kifala sana.Unaweza kuona hata taifa linavyopata wawakilishi dhaifu sana.Ni mipangomipango tu inayozipa hizo timu kongwe(sio kubwa) nafasi za uwakilishi.
Ni usaliti mkubwa kwa wachezaji ambao wanajitoa kulinda heshima ya timu kumbe kuna mtu au watu wanaamua kufanya technical mistake ili walinde maslahi yao na timu za mioyoni mwao.
Hii ni barua ya kujikosha tu hawana lolote viongozi wa Kagera