Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Unaniomba au unaimba?Mwaka huu hata mjinyee muongee mpovuke ubingwa unaenda msimbazi
nyie endeleeeni kucheza kimataifa nyie si wa kimataifa bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo mnyama kadroo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwaka huu hata mjinyee muongee mpovuke ubingwa unaenda msimbazi
nyie endeleeeni kucheza kimataifa nyie si wa kimataifa bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaniomba au unaimba?
Simba Koko ni timu ya hovyo kabisaLeo mnyama kadroo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Na yanga wameaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo mnyama kadroo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Shida iko wapi, tunarudi nyumbani kukata tiketi ya kwenda tena.Na yanga wameaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio mbaya mkijipa moyo inaruhusiwa kujipa matumaini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shida iko wapi, tunarudi nyumbani kukata tiketi ya kwenda tena.
Ila simba ya ajabu saña ña kuhongwa point tatu lakini bado tú mnasua sua [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Na yanga wameaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lofa wewe. Kamdanganye house girl wenuHabari inaenda hivi ....Yanga waliwapa Kagera Sugar milion 10....ili kagera sugar waibanie simba, Simba wakagundua wakapanda dau wakawapa Kagera million 15 ili washinde ...lakini Kagera wakawaambia simba yanga wamewapa kiasi fulani cha pesa ... Sasa basi ilikuua soo Kagera wakakubaliana na simba kuwa watamchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano....harafu simba wakubali kufungwa ili kagera waue soo kwa yanga harafu simba waende TFF kudai kuwa Kagera wamemchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano ndiyo ilivyokuwa kwahiyo Kagera within siku tatu kapiga milioni 25 bila kutoa jasho......sasa yanga inawauma kwa umafya waliofanyiwa na Simba baada ya kucheza picha la kihindi na Kagera....
Mama yako mdogo.....alaaa lofa mwenyewe toa nawe scanario unahisi walitumia ....hiyo nimebuni ...heshimu mawazo ya kiazi weweLofa wewe. Kamdanganye house girl wenu
Umesema mwenyewe heshimu mawazo ya kiazi. Umejijua kuwa wewe ni kiazi. Mtembea na beki tatu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mama yako mdogo.....alaaa lofa mwenyewe toa nawe scanario unahisi walitumia ....hiyo nimebuni ...heshimu mawazo ya kiazi wewe
Hii naona kama vile umeitunga mwenyewe, lakini inaashiria ka ukweli Fulani. Anyway tusuburi maamuzi T.f.f ili kwenye haki apate haki yake. Hata hivyo kuchukua point za mezani ni udhaifu, inabidi timu ipambane ndani ya DK 90 za mchezo uwanjani Na si vinginevyo.Habari inaenda hivi ....Yanga waliwapa Kagera Sugar milion 10....ili kagera sugar waibanie simba, Simba wakagundua wakapanda dau wakawapa Kagera million 15 ili washinde ...lakini Kagera wakawaambia simba yanga wamewapa kiasi fulani cha pesa ... Sasa basi ilikuua soo Kagera wakakubaliana na simba kuwa watamchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano....harafu simba wakubali kufungwa ili kagera waue soo kwa yanga harafu simba waende TFF kudai kuwa Kagera wamemchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano ndiyo ilivyokuwa kwahiyo Kagera within siku tatu kapiga milioni 25 bila kutoa jasho......sasa yanga inawauma kwa umafya waliofanyiwa na Simba baada ya kucheza picha la kihindi na Kagera....
Nyani haoni kunduleSimba anabebwa? Acheni hizo sio yanga anayebebwa mechi zote tano anamalizia nyumbani
Habari inaenda hivi ....Yanga waliwapa Kagera Sugar milion 10....ili kagera sugar waibanie simba, Simba wakagundua wakapanda dau wakawapa Kagera million 15 ili washinde ...lakini Kagera wakawaambia simba yanga wamewapa kiasi fulani cha pesa ... Sasa basi ilikuua soo Kagera wakakubaliana na simba kuwa watamchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano....harafu simba wakubali kufungwa ili kagera waue soo kwa yanga harafu simba waende TFF kudai kuwa Kagera wamemchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano ndiyo ilivyokuwa kwahiyo Kagera within siku tatu kapiga milioni 25 bila kutoa jasho......sasa yanga inawauma kwa umafya waliofanyiwa na Simba baada ya kucheza picha la kihindi na Kagera....