Kagera Sugar wapokonywa pointi 3 na kupewa Simba

Kagera Sugar wapokonywa pointi 3 na kupewa Simba

5b227e879723f2b098c5ae32d6967f6d.jpg
[https://3]
FAKHI

Kamati ya Saa 72, imesikiliza rufaa ya Simba dhidi ya Kagera Sugar na kupitisha uamuzi wa kuipa pointi tatu na mabao matatu.


Simba ilikata rufaa ikitaka ipewe pointi tatu kwa kuwa Kagera Sugar ilimchezesha Mohamed Fakhi akiwa na kadi tatu za njano.


Katika mechi hiyo, Simba ililala kwa mabao 2-1 na baada ya hapo, ikatangaza kutangaza kukata rufaa.



Katika kikao cha leo, Simba imeshinda rufaa hiyo baada ya kubainika kuwa Fakhi alikuwa na kadi tatu za njano.
 
Me mwenyewe mshabiki wa simba lakin tukichukua ubingwa walA hata sishangiliii maana timu letu bovu tuuu
 
Ukumbuke Yanga wana rufaa yao dhidi ya Afrika Layon kwa kuchezesha mchezaji ambaye usajiliwake haujakamilika. na tff walimsimamisha yule mchezaji ila hukumu ya rufaa bado hawajaitoa. kwahiyo na Yanga upo uwezekano wa kupewa hizo pointi.
 
Hii issue ltaleta hatari sana kwenye soka letu.maana kama simba walistahili kupewa point kwanini mchakato umekuwa mrefu sana? Wakati mambo yoote yapo dhahili.hili jambo yanga wataenda kusimamisha ligi mahakamani na FIFA kuinfungia Tanzania kwa upumbavu wa watu wachache waliofanya ujinga.
 
Jumapili ndo mwisho wa ligi kuu jumatatu tunatinga mahakamani kuisimamisha ligi isiendelee
Kesi za mpira ni marufuku kwenda mahakamani.

Sasa Simba bila kubebwa itachukuwa ubingwa kwa mpira gani?

Fitina zihamishieni kwa Toto wawatandike hao mazoba wa mikia.
 
Halafu baada walalamike kagera, wanalalamika vyura! Acheni kukatikia mauno maisha ya watu....kwani nyie mambo ya simba na kagera yanawahusu nini?
Lazima walie lie yanga maana pesa ya ngada sio ya uhakika siku hizi, wanategemea zaidi pesa ya kitwaa ubingwa hivyo piga ua wamekomalia loloye ambalo no pro simba!
 
Back
Top Bottom