Kagera Sugar wapokonywa pointi 3 na kupewa Simba

Kagera Sugar wapokonywa pointi 3 na kupewa Simba

9d5a1a7265d1c7d754c03e07a59f95b7.jpg
 
Kesi za mpira ni marufuku kwenda mahakamani.

Sasa Simba bila kubebwa itachukuwa ubingwa kwa mpira gani?

Fitina zihamishieni kwa Toto wawatandike hao mazoba wa mikia.
Tulivyorudisha na kushinda 2-1 tukiwa 10 ulikuwa mpira gani? Nyie mmetoka kupigwa 4-0 mna mpira gani?
 
Back
Top Bottom