Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeleko itakatika duuuuuu!!!!!Simba hoyeeeeee!
Sasa tujikoseshe ubingwa wenyewe kwa kuboronga mechi zilizosalia na tujutie miaka kadhaa tena.
Tulivyorudisha na kushinda 2-1 tukiwa 10 ulikuwa mpira gani? Nyie mmetoka kupigwa 4-0 mna mpira gani?Kesi za mpira ni marufuku kwenda mahakamani.
Sasa Simba bila kubebwa itachukuwa ubingwa kwa mpira gani?
Fitina zihamishieni kwa Toto wawatandike hao mazoba wa mikia.