Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ni upuuzi mtupu, kama kuna kosa kama hilo timu ipigwe faini ila matokeo yabaki ya uwanjani, huu ni ujinga wa hali ya juu nchi yenye kiwango duni kama Tanzania kuendekeza ushindi wa mezani, sikubaliani na hili kamwe, na ndio sababu sinaga time na soka la Bongo.Ukumbuke Yanga wana rufaa yao dhidi ya Afrika Layon kwa kuchezesha mchezaji ambaye usajiliwake haujakamilika. na tff walimsimamisha yule mchezaji ila hukumu ya rufaa bado hawajaitoa. kwahiyo na Yanga upo uwezekano wa kupewa hizo pointi.