BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Kalanga bao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uongo
Ubora gani walionao wakati wananunua mechi kila kukicha.Ushindi kama huu wa rushwa wala haunogi
Kwa mtindo huu Yanga itaendelea kuwa bora sana
Ujanja wako mkuuUpuuzi mtupu[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Acha twende mwendo huo tu maana hakuna namna, ligi yenyewe imejaa ulaghai tupuMimi ni simba lakini point za kuvizia sizipendi, kwa sababu endapo wangeshinda wangekata rufaa?
Wee hujui soka..tulia hivyo hvyo ...unaandika usichokijuaHaijawahi tokea hili dunia nzima bingwa kapatikana kwa kupewa point za bure nitanzania pekeee.mpira washinde wengine point wapewe wengine
Rushwa ipi hapoUshindi kama huu wa rushwa wala haunogi
Kwa mtindo huu Yanga itaendelea kuwa bora sana
Kesi za mpira ni marufuku kwenda mahakamani.Jumapili ndo mwisho wa ligi kuu jumatatu tunatinga mahakamani kuisimamisha ligi isiendelee
Babu usiumie buree utaishia kupata vidonda vya tumbo, hapa hakuna Mpira ni ujanja ujanja tuHaijawahi tokea hili dunia nzima bingwa kapatikana kwa kupewa point za bure nitanzania pekeee.mpira washinde wengine point wapewe wengine
Nyinyi simba mechi ya mbao hamkununua ?Ubora gani walionao wakati wananunua mechi kila kukicha.
Lazima walie lie yanga maana pesa ya ngada sio ya uhakika siku hizi, wanategemea zaidi pesa ya kitwaa ubingwa hivyo piga ua wamekomalia loloye ambalo no pro simba!Halafu baada walalamike kagera, wanalalamika vyura! Acheni kukatikia mauno maisha ya watu....kwani nyie mambo ya simba na kagera yanawahusu nini?
Hamuoni hata aibu mnalilia point za bure kwa kagera sasa subirini Toto awatoeni bikraWee hujui soka..tulia hivyo hvyo ...unaandika usichokijua