Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ni upuuzi mtupu, kama kuna kosa kama hilo timu ipigwe faini ila matokeo yabaki ya uwanjani, huu ni ujinga wa hali ya juu nchi yenye kiwango duni kama Tanzania kuendekeza ushindi wa mezani, sikubaliani na hili kamwe, na ndio sababu sinaga time na soka la Bongo.Ukumbuke Yanga wana rufaa yao dhidi ya Afrika Layon kwa kuchezesha mchezaji ambaye usajiliwake haujakamilika. na tff walimsimamisha yule mchezaji ila hukumu ya rufaa bado hawajaitoa. kwahiyo na Yanga upo uwezekano wa kupewa hizo pointi.
Wakati refa akiibeba timu anapewa adhabu refa tu.hii ni pekeee Tanzania nchi ya kusadikikaNi upuuzi mtupu, kama kuna kosa kama hilo timu ipigwe faini ila matokeo yabaki ya uwanjani, huu ni ujinga wa hali ya juu nchi yenye kiwango duni kama Tanzania kuendekeza ushindi wa mezani, sikubaliani na hili kamwe, na ndio sababu sinaga time na soka la Bongo.
acha uongo malinziMimi ni simba lakini point za kuvizia sizipendi, kwa sababu endapo wangeshinda wangekata rufaa?
Mechi ya mbaoRushwa ipi hapo
Mechi ya mbaoRushwa ipi hapo
Acha kuonesha ujinga wako mbele ya halaiki! Mbona hata Serengeti boys wataenda Gabon kwa ushindi wa mezani? Au hukuona au kufiatilia ile kesi ya real Madrid mwaka uliopita....?Ni upuuzi mtupu, kama kuna kosa kama hilo timu ipigwe faini ila matokeo yabaki ya uwanjani, huu ni ujinga wa hali ya juu nchi yenye kiwango duni kama Tanzania kuendekeza ushindi wa mezani, sikubaliani na hili kamwe, na ndio sababu sinaga time na soka la Bongo.
Acha kuonesha ujinga wako mbele ya halaiki! Mbona hata Serengeti boys wataenda Gabon kwa ushindi wa mezani? Au hukuona au kufiatilia ile kesi ya real Madrid mwaka uliopita....?Ni upuuzi mtupu, kama kuna kosa kama hilo timu ipigwe faini ila matokeo yabaki ya uwanjani, huu ni ujinga wa hali ya juu nchi yenye kiwango duni kama Tanzania kuendekeza ushindi wa mezani, sikubaliani na hili kamwe, na ndio sababu sinaga time na soka la Bongo.
Mkuu mbona mzigo unawapa Toto wakati babake yanga alikalia bao 2 na wachezaji 10 tu!! usiwatafutie lawama toto.Hamuoni hata aibu mnalilia point za bure kwa kagera sasa subirini Toto awatoeni bikra
Nakubaliana na wewe ndio maana nasema hakuna cha ligi hapa ni ujanja ujanja tuKununua mechi sio yanga tu hata simba
Mjinga ni mama yako mzazi bwegge wewe, mimi nimetowa maoni yangu hayo mambo ya serengeti boys ni yako, ingekuwa hivyo basi hata rufaa za uchaguzi ingekuwa mkata rufaa akishinda ushindi anavuliwa anapewa mkata rufaa, unadhani ni kwa nini hata ushindi ukitenguliwa ni lazima ufanyike uchaguzi mpya?Acha kuonesha ujinga wako mbele ya halaiki! Mbona hata Serengeti boys wataenda Gabon kwa ushindi wa mezani? Au hukuona au kufiatilia ile kesi ya real Madrid mwaka uliopita....?
Yaani unazidi kuonesha upumbavu wako kwa kufananisha mpira na siasa! Kweli wewe akili zako ukubwa wake ni sawa na kisoda!Mjinga ni mama yako mzazi bwegge wewe, mimi nimetowa maoni yangu hayo mambo ya serengeti boys ni yako, ingekuwa hivyo basi hata rufaa za uchaguzi ingekuwa mkata rufaa akishinda ushindi anavuliwa anapewa mkata rufaa, unadhani ni kwa nini hata ushindi ukitenguliwa ni lazima ufanyike uchaguzi mpya?
Kama za mama'ko.Yaani unazidi kuonesha upumbavu wako kwa kufananisha mpira na siasa! Kweli wewe akili zako ukubwa wake ni sawa na kisoda!
Haya ubingwa mmeshapewa..kalipieni nyasi sasa.Hii ni habari njema sana.
Bahati nzuri mama yangu ni mwerevu na anajiweza kichwani ndio maana akazaa mtoto makini kama mimi! Sio huyo wa kwako aliyezaa toto lisilojielewa!Kama za mama'ko.
Na ushindi wa kuhonga na kuwapulizia dawa wachezaji na ndo mana wanafunga hyo ndo kazi ya chura sc [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] angalia mechi za kimataifa wanmbwela tu ngoja tuende si mwkan waoneAfadhali ushindi wa mezani ila wa haki kuliko ushindi wanaoshindaga vyura wa kununua timu!
Zero brain, jifunze kuandika kwanza jina lolote huwa linaanza kuandikwa kwa herufi kubwa.Bahati nzuri mama yangu ni mwerevu na anajiweza kichwani ndio maana akazaa mtoto makini kama mimi! Sio huyo wa kwako aliyezaa toto lisilojielewa!
Kweli wewe hamnazo, ni sheria ipi inasema hivyo na imeandikwa wapi kwamba kila jina lazima lianze na herufi kubwa? Kama wewe unajifanya msomi kuliko mimi naweza nikahitaji tuweke vyeti hapa! Maana mimi sioni ugumu wowote kufanya hivyo.Zero brain, jifunze kuandika kwanza jina lolote huwa linaanza kuandikwa kwa herufi kubwa.
mkulu senkondo ndio nini? hakuna mtu aliyekwenda shule anayeweza kufanya viroja kama hivi.