relato JF-Expert Member Joined Mar 20, 2017 Posts 689 Reaction score 986 Apr 15, 2017 #162 Simba simba simba simbaa.
M mwalunyungu Member Joined Feb 1, 2014 Posts 67 Reaction score 23 Apr 15, 2017 #163 Odili said: Simba hoyeeeeee! Sasa tujikoseshe ubingwa wenyewe kwa kuboronga mechi zilizosalia na tujutie miaka kadhaa tena. Click to expand... Mbeleko itakatika duuuuuu!!!!!
Odili said: Simba hoyeeeeee! Sasa tujikoseshe ubingwa wenyewe kwa kuboronga mechi zilizosalia na tujutie miaka kadhaa tena. Click to expand... Mbeleko itakatika duuuuuu!!!!!
proxy JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 1,479 Reaction score 1,348 Apr 15, 2017 #164 Follow this link to join my WhatsApp group: SIMBA FANS
Last emperor JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 10,351 Reaction score 9,855 Apr 16, 2017 #165 Matola said: Kesi za mpira ni marufuku kwenda mahakamani. Sasa Simba bila kubebwa itachukuwa ubingwa kwa mpira gani? Fitina zihamishieni kwa Toto wawatandike hao mazoba wa mikia. Click to expand... Tulivyorudisha na kushinda 2-1 tukiwa 10 ulikuwa mpira gani? Nyie mmetoka kupigwa 4-0 mna mpira gani?
Matola said: Kesi za mpira ni marufuku kwenda mahakamani. Sasa Simba bila kubebwa itachukuwa ubingwa kwa mpira gani? Fitina zihamishieni kwa Toto wawatandike hao mazoba wa mikia. Click to expand... Tulivyorudisha na kushinda 2-1 tukiwa 10 ulikuwa mpira gani? Nyie mmetoka kupigwa 4-0 mna mpira gani?