Kagera Sugar wapokonywa pointi 3 na kupewa Simba

Kagera Sugar wapokonywa pointi 3 na kupewa Simba

5b227e879723f2b098c5ae32d6967f6d.jpg
[https://3]
FAKHI

Kamati ya Saa 72, imesikiliza rufaa ya Simba dhidi ya Kagera Sugar na kupitisha uamuzi wa kuipa pointi tatu na mabao matatu.

Simba ilikata rufaa ikitaka ipewe pointi tatu kwa kuwa Kagera Sugar ilimchezesha Mohamed Fakhi akiwa na kadi tatu za njano.

Katika mechi hiyo, Simba ililala kwa mabao 2-1 na baada ya hapo, ikatangaza kutangaza kukata rufaa.

Katika kikao cha leo, Simba imeshinda rufaa hiyo baada ya kubainika kuwa Fakhi alikuwa na kadi tatu za njano.
602cc5ddfd0b5ebb6b569cabf836a01a.jpg
 
Mkuu mbona mzigo unawapa Toto wakati babake yanga alikalia bao 2 na wachezaji 10 tu!! usiwatafutie lawama toto.
Mbona kagera kawakalia mmeenda kuomba wapuuzi mpewe point ilihali yanga kampiga sita
 
Mjinga ni mama yako mzazi bwegge wewe, mimi nimetowa maoni yangu hayo mambo ya serengeti boys ni yako, ingekuwa hivyo basi hata rufaa za uchaguzi ingekuwa mkata rufaa akishinda ushindi anavuliwa anapewa mkata rufaa, unadhani ni kwa nini hata ushindi ukitenguliwa ni lazima ufanyike uchaguzi mpya?
Taratibu na kanuni za uchaguzi ni tofauti na za mpira mkuu. Hizo taratibu za mpira za kumnyang'anya point mkosaji ni za kidunia hata cc tumezirithi. Lakini za uchaguzi tumezitunga cc wenyewe kupitia Bunge. Kwa hiyo huo nfano wako ni tofauti kabisa.

Kwani yanga hawajawahi kukata rufaa!!
 
Manina zenu, hii laana haiwezi kuipa Simba ubingwa.
Ligi inaelekea mwishoni halafu nyie mnawapa Simba point za mezani, this is not fair kwakweli.

Kweli bingwa wa mwaka huu ataamuliwa na upepo wa uchaguzi wa mwaka huu.
 
Acha kuonesha ujinga wako mbele ya halaiki! Mbona hata Serengeti boys wataenda Gabon kwa ushindi wa mezani? Au hukuona au kufiatilia ile kesi ya real Madrid mwaka uliopita....?
ndio mnajifananisha na serengeti tofautisha ligi kuu na michuano ya chan kwanza serengeti haikuwa ligi kuu ilikuwa chan isitoshe congo walichezesha kijeba wakaondolewa sasa nyie mchezaji ana kadi tatu mnataka point zao hakuna ligi inayoendeshwa kwa ushindi wa mezani ni tanzania tu
 
Hizi ni habari mbaya kwa vyura wa jangwani......

Hakika wanapitia kipindi kigumu sana...,,

Pamoja na kutumia gharama kubwa kununua mechi lakini bado ubingwa wanaukosa hivi hivi.....

Inauma sana.....
 
Jumapili ndo mwisho wa ligi kuu jumatatu tunatinga mahakamani kuisimamisha ligi isiendelee
Ukitinga mahakamani tunaishisha timu yako daraja ndio sheria zinasema
 
Ama kweli TFF imehamia simba mhh tutaona mbele huko maana mmebebwa weeeee mpaka mnapewa za mezani
Huu ni wizi wa mchana kweupeee !! Itakuwa bora zaidi kanuni hizi za ovyoovyo zikafutwa , mtu aliyefungwa mchezoni Leo ni mshindi wa goli 3--0 ni kichekesho na pia wamempa ubingwa wa VPL 2017--2018 ligi ya TZ bwana mmmmmm KANUNI ovyooo
 
ndio mnajifananisha na serengeti tofautisha ligi kuu na michuano ya chan kwanza serengeti haikuwa ligi kuu ilikuwa chan isitoshe congo walichezesha kijeba wakaondolewa sasa nyie mchezaji ana kadi tatu mnataka point zao hakuna ligi inayoendeshwa kwa ushindi wa mezani ni tanzania tu
Bashite mkubwa weeeee......
 
Huu ni wizi wa mchana kweupeee !! Itakuwa bora zaidi kanuni hizi za ovyoovyo zikafutwa , mtu aliyefungwa mchezoni Leo ni mshindi wa goli 3--0 ni kichekesho na pia wamempa ubingwa wa VPL 2017--2018 ligi ya TZ bwana mmmmmm KANUNI ovyooo
Lakini unasahau tu msimu uliopita Azam walipokwa point tatu kwa kumchezesha Erasto Nyoni kwa kuwa na kadi tatu za njano na hii ikawasaidia Yanga kupata ubingwa? Leo hii zimekuwa mbovu kwa kuinufausha Simba??
 
Mbona kagera kawakalia mmeenda kuomba wapuuzi mpewe point ilihali yanga kampiga sita
Kwahiyo umeachana na yanga kwakuwa mlitandikwà bao 2 na simba na kuhamia kagera sugar ?
 
Na ushindi wa kuhonga na kuwapulizia dawa wachezaji na ndo mana wanafunga hyo ndo kazi ya chura sc [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] angalia mechi za kimataifa wanmbwela tu ngoja tuende si mwkan waone
Ile ya libolo ilikuwa ligi kuu[emoji2]
 
Taratibu na kanuni za uchaguzi ni tofauti na za mpira mkuu. Hizo taratibu za mpira za kumnyang'anya point mkosaji ni za kidunia hata cc tumezirithi. Lakini za uchaguzi tumezitunga cc wenyewe kupitia Bunge. Kwa hiyo huo nfano wako ni tofauti kabisa.

Kwani yanga hawajawahi kukata rufaa!!
Hata kwenye uchaguzi tuliwahi kuwa na sheria za aina hiyo, anayeshinda kesi anapewa ubunge. kumbuka kesi maarufu ya uchaguzi iliyoacha gumzo baina ya Kitwana Kondo na Martha Wejja ubunge wa ilala
 
Manina zenu, hii laana haiwezi kuipa Simba ubingwa.
Ligi inaelekea mwishoni halafu nyie mnawapa Simba point za mezani, this is not fair kwakweli.

Kweli bingwa wa mwaka huu ataamuliwa na upepo wa uchaguzi wa mwaka huu.
Ulipaswa kuzisoma kanuni za ligi kabla hujaingiza timu yako. vinginevyo kila siku utasema unaonewa
 
Back
Top Bottom