wanaharakati kazi yao kubwwa kuangalia makonda kmbananisha nani kala hela ya umma ndiyo utawasikia kwenye mambo nyeti kimyaaaaa pumbavu zaoHalafu kuna Wanaharakati uchwara utawasikia wanasema "Hukumu ya kifo iondolewe, maana ni uvunjaji wa haki za binadamu." Pumbavu zao, kwani Muuaji yeye alipokuwa anajua alikuwa hajui anamvunjia mwingine haki yake ya kuishi.
Mimi ningekuwa Rais ningesinya mapema sana saini yangu kwenye hukumu ya mauaji ya huyo mtoto. Mbona Rais wa China anasaini fresh tu.