wanaharakati kazi yao kubwwa kuangalia makonda kmbananisha nani kala hela ya umma ndiyo utawasikia kwenye mambo nyeti kimyaaaaa pumbavu zaoHalafu kuna Wanaharakati uchwara utawasikia wanasema "Hukumu ya kifo iondolewe, maana ni uvunjaji wa haki za binadamu." Pumbavu zao, kwani Muuaji yeye alipokuwa anajua alikuwa hajui anamvunjia mwingine haki yake ya kuishi.
Mimi ningekuwa Rais ningesinya mapema sana saini yangu kwenye hukumu ya mauaji ya huyo mtoto. Mbona Rais wa China anasaini fresh tu.
Kabisa kabisa. Nakubali. Cases kama hizi unaweza kukuta mambo yako tofauti kabisa.Natamani sana kujua ukweli, uhakika na uhalisia juu ya tukio Hilo lote kabisa, sema tatizo ni kwamba Sheria za nchi hii ya Tanzania haziruhusu Independent Police Investigation, na kwa bahati mbaya sana kupita kiasi ni kwamba hata ripoti au taarifa za upelelezi za Jeshi la Polisi nazo haziaminiki kabisa. Hivyo, huenda tunaweza tusiujue ukweli halisi kuhusiana na tukio hili.
Kama hujui sheria unaweza kudhani ni uzembe. Huu siyo uzembe bali ni matakwa ya kisheria.Kwanini hili suala la watuhumiwa kupelekwa mahakamani nakurudishwa bila ya kesi kusikilizwa,linajirudia?
Inamaana bado suala la kujua mahakama ipi ni sahihi au si sahihi,kwa kuwapeleka watuhumiwa wa kesi flani,halijawahi kutatuliwa?
Mambo ya kijingajinga sana haya.
Kwa sasa bado ni tuhuma tu hazijathibitishwa. Kuna 1) kutuhumiwa na kuna 2) kukutwa (kuwa) na hatia - ni vitu viwili tofauti. Hata hivyo, askofu wake amemsimamisha kutoa huduma zozote za kiuchungaji hadi hapo itakapothibitika kwamba hakufanya hivyo anavyotuhumiwa na vyombo vinavyohusika.Elpidius Alfred Rwegoshora miaka 49 ambaye ni padri..!! Yule padri nae yumo, Kanisa Katoliki lingefaa litoe tamko kali sana kulaani padri kuhusika katika huu uuaji, unyama na ukatili mbaya sana..!!
KabisaWatoto ni furaha hata uwe masikini watoto wanakupa nguvu ya kupambana .
Aisee nyuso zao zinaonyesha kusikitika na kujutia kosa lao...Kwa sasa bado ni tuhuma tu hazijathibitishwa. Kuna 1) kutuhumiwa na kuna 2) kukutwa (kuwa) na hatia - ni vitu viwili tofauti. Hata hivyo, askofu wake amemsimamisha kutoa huduma zozote za kiuchungaji hadi hapo itakapothibitika kwamba hakufanya hivyo anavyotuhumiwa na vyombo vinavyohusika.
Kanisa limetoa taarifa kumsimamisha kwa sasa hawawezi kusema lolote maana bado mtuhumiwa ....akija kuachiwa kuwa hana hatia ....? Tusikurupuke kumaliza maneno.....acha haki itendeke...mudavni mwalim mkuu
Sasa zitaonyeshaje kusikitika na kujutia kosa lao wakati hujui kama ni wao waliotenda kosa au ulishuhudia wakitenda kosa? Mimi kwa mambo haya huwa ninakuwa na subira maana inaweza kutokea wakosoaji wakawa watu wengine kabisa. Sasa kama unakuwa umeshamhukumu mtu, halafu baadaye ukakuta siyo huyo uliyemhukumu, mimi huwa inanipa tabu sana moyoni mwangu maana na mimi sitaki nihukumiwe vibaya. Hivyo, huwa najitahidi kuwa mwangalifu.Aisee nyuso zao zinaonyesha kusikitika na kujutia kosa lao...
Limeshatoa!Elpidius Alfred Rwegoshora miaka 49 ambaye ni padri..!! Yule padri nae yumo, Kanisa Katoliki lingefaa litoe tamko kali sana kulaani padri kuhusika katika huu uuaji, unyama na ukatili mbaya sana..!!
Kwa hiyo ulitaka wasikamatwe mkuu mbona haueleweki hizi kesi za mauaji ya watoto wenye ulemavu mara nyingi zinahusisha familia na mara chache sana toka nimeanza kuzisikia ikaja taarifa kuwa sio wao labda wewe unikumbushe na pia Tanzania kwenye mambo ya kutafuta taarifa za wauaji Polisi wanajitahidi mno mno kuliko sehemu nyingi ninazoishi hao jamaa nawapa Big up....Sasa zitaonyeshaje kusikitika na kujutia kosa lao wakati hujui kama ni wao waliotenda kosa au ulishuhudia wakitenda kosa? Mimi kwa mambo haya huwa ninakuwa na subira maana inaweza kutokea wakosoaji wakawa watu wengine kabisa. Sasa kama unakuwa umeshamhukumu mtu, halafu baadaye ukakuta siyo huyo uliyemhukumu, mimi huwa inanipa tabu sana moyoni mwangu maana na mimi sitaki nihukumiwe vibaya. Hivyo, huwa najitahidi kuwa mwangalifu.
Na nani? itabidi ukaisaidie polisi 😎
Mimi nasema sheria za nchi zinavyosema/elekeza. Wewe unasema unavyodhani ndivyo ilivyo. Ni vitu viwili tofauti. Hebu dondoa sehemu niliyosema "wasikamatwe". Kwani hizo sheria nimezitunga mimi? Soma vizuri nilivyochangia uelewe mantiki ya mchango wangu.Kwa hiyo ulitaka wasikamatwe mkuu mbona haueleweki hizi kesi za mauaji ya watoto wenye ulemavu mara nyingi zinahusisha familia na mara chache sana toka nimeanza kuzisikia ikaja taarifa kuwa sio wao labda wewe unikumbushe na pia Tanzania kwenye mambo ya kutafuta taarifa za wauaji Polisi wanajitahidi mno mno kuliko sehemu nyingi ninazoishi hao jamaa nawapa Big up....
Watu wamekutwa na baadhi ya viungo na wametajana wewe unasema tusubiri nini ina maana hivyo viungo Polisi walienda navyo kuwakamata ni vile Tanzania tuna hizi mambo hiyo ishu China hata wiki haifiki yaani hawapewi hata nafasi ya kuvuta sigara wanaliwa Vichwa uone kama utasikia tena hizo mambo tena hadharani kwenye Kijiji walichofanya hayo mambo..