Kagoda: Ni Rostam

Mwanakijiji,

Kauli zako katika hili swala zimejikita! Nyasi zikiota alama za miguu zitakuwepo?!
 

Talk of juvenile delinquency - there is no better example than the font and colour displayed in the tirade above. Talk of illiteracy - what better than the level exhibited in this outburst so typical of Ragamuffin.

Hosea of TCCB proved Rostam innocent long before the handing over of the so called evidence because they are birds of a feather. Come on Ragamuffin or whatever you choose to call yourself, your views are a disgrace to JF.
 

Respect mkuu!
 
Wadau, lazima tuelewe kuwa RA is not as bright as he publicly potrays to be.Sasa hivi he in the spotlight , and for a long time too.
Vazi lake linaanza kuvuka pole pole, utapeli wote utajulikana muda si mrefu.Bahati mbaya sana ni kuwa defense yake kubwa ni wale washiriki wenzake katika ufisadi waliopo serikalini na kwenye siasa.Tumemsikia mama Sofia Simba.
Ni hao wanao mlinda kwa sasa.
 

Ragga, defend lice and it will all over you, even in your most private parts!
 
a. Mtu anapotoa tuhuma ni nani kisheria ana jukumu la kukusanya ushahidi, kuuchambua na kuona kama ni relevant kwenye kesi?
Inategemea tuhuma zenyewe. Kama ni za kuchafuliana majina, atakaefungua kesi ya madai ndiye atakaewajibika kuthibitisha kuwa hizo tuhuma kweli zimemchafulia jina. Kama tuhuma zenyewe ni criminal, ambazo k.m. zinaweza kuhatarisha maisha ya mtuhumiwa basi mtuhumiwa anaweza kupeleka madai yake kwenye relevant authorities ambao baada ya uchunguzi wanaweza kuamua kufungua criminal charges dhidi ya aliyetoa tuhuma. Relevant authorities haziwajibiki kufuatilia kila mahali ambapo tuhuma zinatolewa.

Kwa hiyo, Mkuu, unamtoa Mengi kwenye hilo taifa. Yeye alitoa hizi tuhuma kama by-stander ambae hazikumhusu bali aliona alisemee "taifa" ambalo halimhusu? Naona kwa mtazamo wako unaunganisha taifa na serikali, vitu ambavyo ni tofauti. Taifa ni zaidi ya serikali. Kama taifa limeibiwa basi wale wote ambao ni wa taifa hilo wanawajibika kufuatilia hiyo ishu badala ya kungoja serikali. Mfano, mzuri ni Christopher Mtikila ambae hasiti kushtaki serikali pale anapoona utaifa wake unadhulumiwa!

c. Kama serikali inajua kuwa kuna wizi umetokea na kuna watu wanatajwa kuhusika na wizi huo, ni jukumu la serikali kufanya uchunguzi na kuamua siyo kukaa pembeni na kusema mwenye ushahidi wa wizi atuletee!?
Unajuaje kama serikali hiyo haijafanya uchunguzi na kukosa ushahidi? Si waliunda tume kuchunguza? Sasa kuna ubaya gani wao kuomba mwenye ushahidi awapelekee? Kama upo, kama inavyodaiwa kwa nini wenye nao wasi "call bluff"ya serikali na kuwapelekea wazi wazi? Kama alivyofanya Rostam.

Kwa hiyo unakiri kuwa serikali iliishafanya uchunguzi kuhusu madai yahusuyo EPA? Unakiri kuwa kuna watu wameishafikishwa mahakamani kutokana na uchunguzi huo? Kwa nini basi usiamini kuwa Rostam, ambae nae alikuweko kwenye list of shame alichunguzwa na akaonekana hana kesi ya kujibu? Sasa kwa wale ambao wanaong'ang'ania kuwa Rostam alihusika basi wapelekee serikali ushahidi wao. Au waseme wazi kuwa Rostam alihusika hapa na hapa, mbona ameachiwa? Mengi hajasema hivyo. badala yake analeta platitudes.

Mimi sisemi Mengi atuletee ushahidi. Ninachokisema ni kuwa kama anataka tumwamini basi aseme wazi kuwa hao mafisadi papa ufisadi wao uko wapi. Yaani kweli mtu huyu jasiri anashindwa hata kuuliz hatma ya hao waliokutwa na vijisenti kwenye akaunti zao Jersey? Anapata kigugumizi kuwataja hao waliosaini mikataba mahotelini? anabaki na hizi shutuma general? Badala ya kusema Rostam aeleze umma nini uhusiano wake na watu wa Dowan, kwa nini yeye asiuanike wazi hata bila kutoa ushahidi?

e. Kama Mengi amedai kuwa yeye ndiyo kaibiwa (binafsi) au kampuni yake basi ni wazi kuwa ni vizuri kuwapa Polisi mahali pa kuanzia (waoneshe nyumba iliyoibiwa, kilichoibwa, n.k). In this case, it is not personal or is it?
Kama hajaibiwa binafsi ( kama mmoja katika taifa hili) hizi shutuma za nini? Si angalau angesema kuwa fulani ni mwizi wetu maana nilimuona akitokea dirishani! Yeye kwa kujibebesha huu mzigo amejiingiza katika taifa lililoibiwa. He should then do us all a favour na kutuambia bayana huo wizi ni wizi upi na kwa nini anawashuku aliowataja!

Amandla......
 

thanks!
 

You asking wright questions but you asking a wrong person, Your questions should be addressed Chimwaga , Dodoma CCM Makao makuu, Hayo maswali waulize CCM. Kwasababu Mjibu yote wanayo,Wana resources za kujua Majibu, Lakini hawezi kukujibu kwasbabu wao ndio wahusika.
 
Hapa tulipo ni ukumbi ulio huru na kila mmoja ana uhuru wa kueleza anachoona sahihi. Namuheshimu Mwanakijiji na wengine wote waliomuunga mkono kwa kuamzisha thread hii lakini kwa heshima ile ile nawaomba waniruhusu kueleza mapungufu ya maan halisi ya kuanzisha thread hii.
Naomba maana na naomba iwe kwa hoja na sio jazba kwasababu ninavyohisi mimi tufanyavyo ndani ya threada hii ni sawasawa na kumkama ngombe Dume ili tupate maziwa.
Kwa nini? Tunamtaka Rostam atueleze kuhusu kitu ambacho YEYE MWENYEWE alishasema hakijui. Amesema mara nyingi na hata alipoiitisha waandishi wa habari kueleza kukerwa na hatuwaya Mengi kumshutumu alianza kwa kusema kuwa hahuski na Richmond, Hahusiki na Dowans na hausiki na Kagoda, sasa kumrejea tena na kumwambia atueleze kuhusu mambo hayo nini mantiki yake.
Naam anaweza akawa anadanganya lakini bado tumeshindwa kuupinga uongo wake. Tuchukulie kuwa tunataa kumuhukumu kwa maovu aliyotufanyia, ivyo Watanzania kwa ujumla wetu hatuwezi kuthibitisha mashitaka juu yake kwa kuleta ushahidi kuwa KWELI KAGODA NI YAKE? Tukifanya hivyo tutakuwa tumemaliza uzia kwani tutaweza kumfikisha kwenye vyombo vya sheria na kumuhukumu kwa maovu yake. Kinyume cha hivyo tutakuwa tunaleta uchochezi wa bure.
Kitu kimoja ni cha wazi kabisa. Wako wengi wenye chuki kubwa na huyu bwana iwe kwa rangi yake, iwe kwa misinformation anda distortion, iwe kwa uchungu wa nchi na kadhalika, kam kungekuwa na ushahidi wa hizo shutuma anazopewa basi angekwishakuwa KEKO lakini siamini kuwa hajafika huko eti kwa kuwa anaogopwa na Watanzania wote. Mfano ni wa Mengi na Mwakyembe si wamejitowa wazi kumshutumu? Wangefika mbali zaidi ya walipofika isipokuwa hawana ushahidi wowote juu ya tuhuma zao.
Sasa tunapoletewa thread refu ya kutaka mshitakiwa athibitishe KESI JUU YAKE MWENYEWE inasababibisha wale waliokuwa bado hawajaathiriwa na Chuki binafsi kujiuuliza maswali mengi.
USHAURI ; Tuleteeni vielelezo vinavyothibitisha tuhuma, na vithibitisho hivyo viwe na hadhi na nia ya kusimama kwenye vyombo vya sheria ili huyu PAPA achukuliwe hatuwa.
 
Kwa taarifa yenu: Ushahidi wote wa kumbana Rostam kwenye Kagoda umekamilika ndio maana Mengi anasisitiza huyu fisadi aende mahakamani haraka. Muda wa kinara huyu wa ufisadi kuanikwa umewadia. Wabongo sio wajinga kama Rostam anavyotaka kuamini.


Kwa maanahiyo hii thread haina maana au sivyo unavyojaribu kusema?
 

Unajua unachosema kinaelez nini? Iwapo wanaomtetea RA kama unavyodai kuwa hawana kumbukumbu nani nanayo? Mwakyembe au Mengi au Spika wa Bunge?
Huoni ni kulitusi bunge kuwa linamlinda Fisadi na muhalifu? Kama Bnge lingekuwa na ushahidi wa makosa si wangekwishampeleka mahakamani au hata huyo Babu yako Mengi hadi sasa baada ya kuvuliwa nguo na huyo Rostam hampeleki mahakamani.
Inawezekana wanaomtetea A hawana kumbukumbu lakini MNAOMSHITUMU RA hamna ushahidi na hichi ndicho hao wanaomtetea wanataka bwakipate. Toweni ushahidi tumfikishe nakostahiki lakini hili la porojo hakitusaidii.
 


Hivyo tutamuhukumu bila ushahidi, mbona unataka kuwafanya Watanzania kuwa watu wa ajabu? Angalia hata michezoni wanawatetea kisa hakuna ushahidi.
 


na kweli katika ile orodha aliyotowa raya aliogombana nao mengi huyu alisahauliwa vile?
 


Fanyakazi kidogo usiwe mvivu wa kutowa hoja unazunguka humo humo kama pia mkuu.
 





Mzee kama ni mzee kweli nakushauri si wakati wote utowe hoja kwani kwa kufanya hivyo unakwenda mchomo na kutufanya vijana tujuulize Mzee kakutwa na nini?
Kwani Bunge halijakaa na kulishighulikia hili? Au unataka kunambia kuwa Mengi ni mzalendo zaidi ya mtu yeyote humu Tanzania? Hata Shujaa wakweli Slaa hajakurupuka na kutowa shutuma zisio na ushahidi na kumtaka mtuhumiwa aende akajithibitishe kuwa ni muhalifu.
 

8. Alipoulizwa kuhusu ushahidi uliotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Salvatory Rweyemamu kuwa yeye Rostam ndiye aliyemuunganisha na Mkurugenzi wa Richmond, Mohammed Gire kufanya kazi ya ushauri wa habari katika kampuni hiyo, Rostam alikana kwa kusema kuwa, alichowahi kufanya ni kumuunganisha kufanya kazi kama hiyo kwa kampuni ya uwakala wa kupakua mizigo bandarini.
 
Bilioni alizoiba mengi pale nbc vipi?

Sizungumzii alizokopa

au zile si muhimu kuzizungumzia?
 


N a wewe unataka kufunga mjadala! umetumwa? tuache tuendelee kujadili kama wewe hautaki usifundue threads hizi

SAA YA UKOMBOZI NI SASA
 
Nkwazi umenena vema na ukipata majibu usiache kutujuza. Mheshimiwa sana RA hebu tuelimishe au na wewe waweza kutuma wanasheria sababu naelewa uko busy saaaana. Mtume Mhingo akujibie ila pia fahamu si mshauri sana tangu tukiwa tunasoma o level. Hapo Muhingo anapalilia maslahi yake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…