Kagoda: Ni Rostam

Kagoda: Ni Rostam

- Kwani sheria inasema nini mkuu kuhusu misaada ya individuals kwa vyama vyetu vya siasa? I understand the anger lakini kama kweli hizi hela zote ziliibiwa na CCM na kutumika kumchagua rais, sasa anatoa wapi ubavu wa kuwafikisha kwenye sheria huku akijua kwua watamtaja na yeye kuhusika?

I mean hoja zingine mbona hata common sense inakataa kukubali?[/SIZE]

FME kwa bongo mbona common sense haipo kabisa hasa kwa mambo ya ulaji? kama common sense ingekuwepo kweli:

-Chiligati angekuwa anamwaga upupu wake tunao usikia eti chama kimelea vijana hivo wasikikosoe?
- Hivi common sense ingekuwepo mtu ambaye familia yake iko majuu na uraia wake una shida kutokana na uraia wa familia zao wangepewa sehemu nyeti ndani ya taifa letu? mfano:
Balali -BOT
Mgonja- KATIBU MKUU
Salva R- Ikulu mwandishi
and the list goes on..

Hivi kweli mkuu hapo kuna common sense hapo? Inavo onesha kila jambo bongo ni twende tu na lolote lawezekana hata kama kwa akili ya kuzaliwa haingii akilini!

Yawezekana pia kufikishwa mahakamani kwa hawa ''kagoda likes'' si kweli kwamba mkuu hausiki, bali ni yale yale ushirika wa wachawi.. kaona anakwisha kisiasa akaamua ajitutumue ili ajitoe! wakimgeuka kama ana nguvu ya wananchi nyuma yake kwa vile ka wawajibisha hawatamuweza.
 
1.
FME kwa bongo mbona common sense haipo kabisa hasa kwa mambo ya ulaji? kama common sense ingekuwepo kweli:

-Chiligati angekuwa anamwaga upupu wake tunao usikia eti chama kimelea vijana hivo wasikikosoe?
- Hivi common sense ingekuwepo mtu ambaye familia yake iko majuu na uraia wake una shida kutokana na uraia wa familia zao wangepewa sehemu nyeti ndani ya taifa letu? mfano:
Balali -BOT
Mgonja- KATIBU MKUU
Salva R- Ikulu mwandishi
and the list goes on..

Hivi kweli mkuu hapo kuna common sense hapo?

- Hili ni tatizo la usalama wa taifa, it has noting to do na CCM as chama, au mahesabu ya uchaguzi.

2.
Yawezekana pia kufikishwa mahakamani kwa hawa ''kagoda likes'' si kweli kwamba mkuu hausiki, bali ni yale yale ushirika wa wachawi.. kaona anakwisha kisiasa akaamua ajitutumue ili ajitoe! wakimgeuka kama ana nguvu ya wananchi nyuma yake kwa vile ka wawajibisha hawatamuweza.

- Neno la msingi hapo ni yawezekana, maana inaweza kuwa haiwezekani.

Upupu wa Chiligati, hata mimi I agree kwamba ni too low kwa a national leader wa level yake, lakini still upupu hauna uhusiano wowote na mahesabu ya chama CCM.
 
Hizi ni news kwangu...mbona ilisemekana kuwa hakuna mkono (signature) wa Rostam popote kwenye hii kitu inaitwa Kagoda..kumbe kuna "mkataba" aliwahi kuweka mkono wake..??!!

- Mkuu haya maneno nimeyasema toka last two weeeks kuna mahali niliuliza ni kwa nini Mgonja, Peter Noni, na Rostam hawajaenda Kisutu,

- Hata Zitto himself anajua wazi kuwa mkataba wa Kagoda ulisainiwa na Rostam na Mgonja.
 
Unajua tatizo ni mianya katika sheria ya uhasibu wa matumizi ya fedha ya vyama. Sababu tunatumia njia za kizamani then kuwabana CCM ni imposible. Huyu mzee anajua kabisa kwamba hakuna means ya kujua kama kweli Kagoda walifund 2005 election.
 
- Ukweli ni kwamba hatuna sheria on the ishu, maana ingekuwepo ingeleta mtafaruku on both sides!, unless tu kama tunataka kusema Kagoda sio sawa, lakini kupewa na wazungu ni sawa!

Kuna mambo mengi sana bongo tunadanganywa ndio maana huwa ninapenda kuongea na mafarasi wenyewe, kuna farasi mmoja aliniambia kwua hata ule uamuzi wa independent candidate kwenye kesi ya Mtikila ulikuwa ni kanyabwoya, kwa sababu eti ni bunge tu ndilo lenye mamalaka ya kubadili kipengele chochote cha katiba mahakama haiwezi, akasema wkamba ndio maana mpaka leo ile ishu imekwama kwa sababu majaji wanajua walichemsha, sasa wanaikwepa appeal ya serikali, maana nilimuuliza CCM na serikali kwa nini mnaogopa kubadili katiba? na hasa wagombea huru?
 
Natamani kuona japo ki-sehemu tu ya sahihi ya RA kwenye huo mkataba!
 
Mmh jamani hawa wakuu wetu kwa kweli wana matatizo,maana wamezidi kuropoka ovyo.Eti vijana,wapi panasema kama umelelewa na ccm huruhusiwe kuikosoa?
 
CCM si wagawanyike tu kama walivyofany ANC kule SA?

Hii vita na mafisadi iendeshwe haraka, iishe, watu warudi kwenye uzalishaji.

Hiki kipindi sijui kama tunasonga mbele kweli, ni kama ni siasa kila sehemu kuanzia chini mpaka juu.
 
Kuna mambo mengi sana bongo tunadanganywa ndio maana huwa ninapenda kuongea na mafarasi wenyewe, kuna farasi mmoja aliniambia kwua hata ule uamuzi wa independent candidate kwenye kesi ya Mtikila ulikuwa ni kanyabwoya, kwa sababu eti ni bunge tu ndilo lenye mamalaka ya kubadili kipengele chochote cha katiba mahakama haiwezi, akasema wkamba ndio maana mpaka leo ile ishu imekwama kwa sababu majaji wanajua walichemsha, sasa wanaikwepa appeal ya serikali, maana nilimuuliza CCM na serikali kwa nini mnaogopa kubadili katiba? na hasa wagombea huru?

Nina amini majaji hawakuchemsha. Kilichofanyika ni mahakama kukubaliana na maombi ya Mtikila katika kesi yake, ya kwamba kipengele funani (The Main issue katika kesi) ni batili kinamnyima mtu haki yake ya msingi ya kugombea na kuchaguliwa kuwa kiongozi. Mahakama ikishatoa uamuzi, ni jukumu la serikali kupitia vyombo vyake kufanya marekebisho yaliyoamuliwa na mahakama. Hata hivyo, marekebisho hayawezi kufanyika ikiwa kuna kusudio la kukata rufani mahakama ya rufaa, na ndicho kitu kilichopo kwenye hii ishu ya mgombea binafsi, au kwa makusudi tu serikali inaweza kukaidi.

Kawaida kama kesi iliamuliwa katika mahakama kuu, theni inawezekana kabisa kwamba kwenye mahakama ya rufaa uamuzi ukawa mwingine. Kwa hiyo, sidhani kwamba mahakama ya rufaa inaikwepa hii kesi.

Maana suala hili la mgombea binafsi linahusu zaidi sheria ya uchaguzi na si katiba ya nchi.
 
Hivi,ni Kiongozi gani ameonyesha kukerwa sana na swala la EPA kujadiliwa? Nani alisema nini,lini na wapi kuhusu watu kuzungumza ...EPA...EPA... badala ya kushughulikia "maendeleo" !
Hili jambo liwekwe wazi kwenye kumbukumbu hapa ili baadaye tuje kujumuisha vizuri jinsi Historia "ilivyoandikwa".
1........
2........
3.Stephen Wassira, 4.Mama Mahiza? 5.........6.........
 
Jamani Tanzania yangu kumbe iko chini na CCM yenye watu wachache wako juu ?
 
1.
Mhesmiwa field usitishike na nani alisaini au jina la nani lilifika bank kumbuka CCM ni mkusanyiko wa watu na Rostam ni mmojawapo.

2.
Wakati huo Rostam alikuwa Mweka Hazina wa CCM. Kama aliweka mkono ilikuwa ni kwa niaba wa CCM. CCM ni mkusanyiko wa wezi - iwe kura ama kula.

- CCM kama chama has nothing to do na Kagoda, uamuzi ni wetu na hasa responsibility ya kuelimishana on ukweli's lines kwa sababu tunapaswa kuwa tumejifunza ya kutosha as a nation, kuhusu mambo ya ku-raise expections za wananchi on lies kama hizi, maana huwa wanazikumbuka hizi lies wakati wa kupiga kura, halafu tunaishia kuwalaumu.
 
Ama kweli hatuna viongozi...
Yakifanywa mazuri na baadhi viongozi ni kazi ya chama lakini mabaya ni yao wenyewe!..mfumo wa - Chako changu changu changu!
 
Zero,

Thank you for suggesting a public rally as a resolution, but the likes of Zitto, Dr. Slaa and Professor Lipumba are few as majority of Tanzanians have the attitude of "Nidhamu ya Woga"
 
1.

2.

- CCM kama chama has nothing to do na Kagoda, uamuzi ni wetu na hasa responsibility ya kuelimishana on ukweli's lines kwa sababu tunapaswa kuwa tumejifunza ya kutosha as a nation, kuhusu mambo ya ku-raise expections za wananchi on lies kama hizi, maana huwa wanazikumbuka hizi lies wakati wa kupiga kura, halafu tunaishia kuwalaumu.

bado mlango wa kutokea hapo upo mbali...........
 
Few years to come, watoto wa form 4 kwenye history au civics watakuwa na swali la essay lakujibu....' Explain factors for the collapse of CCM in Tanzania......"
 
Latest revelation: 26bn/- payout to Kagoda right before 2005 elections

-But poll was then postponed for avoidable reasons

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

MORE than 25.7bn/- was paid to Kagoda Agriculture Limited from the Bank of Tanzania's external payment arrears (EPA) account just days before the 2005 general elections were initially scheduled to be held, THISDAY can now reveal.

Our investigations have established that the central bank released a total of 25,759,769,275.10/- to Kagoda on October 27, 2005 - a mere three days before the scheduled, countrywide polls on October 30.

The polls were, however, postponed to December 18 of the same year, following the sudden and untimely death of an opposition vice-presidential candidate.

According to latest THISDAY findings, the BoT payments disbursed to Kagoda on October 27, 2005 were in four separate installments and via different bank accounts within the city of Dar es Salaam.

Breakdown of the payments is as follows: 3,430,099,403.52/-; 2,715,297,863.12/-; 10,254,045,455.83/-; and 9,360,326,552.94/-.

One week later (November 3, 2005), the central bank made six more transfers of funds to the same company's bank accounts, amounting to more than 8bn/-.

New documents seen by THISDAY reveal that the payments made by BoT to separate Kagoda accounts on November 3 were for 1,261,430,676.50/-; 1,261,430,676.50/-; 1,056,767,673.45/-; 2,323,540,330.27/-; 702,881,683.32/-; and 1,590,622,560.49/-.

About a month afterwards (December 5, 2005), Kagoda was yet again the beneficiary of hefty BoT disbursements amounting to over 800m/-.

The December 2005 payments were for 558,068,464.70/- and 267,137,210/-, respectively.

All these payments made by BoT to Kagoda occurred in the final days of the third phase government under ex-president Benjamin Mkapa, before the incumbent President Jakaya Kikwete came into office.

Our investigations have already revealed that at least six separate bank accounts opened at different CRDB Bank branches in Dar es Salaam were used by Kagoda to siphon more than 40bn/- from the EPA account.

The use of separate bank accounts maintained by the apparently shell company is understood to have been specifically designed to avoid raising the suspicion of authorities by spreading the huge sums of money around.

It has been established that the CRDB Bank accounts were opened at the same time and therefore have a similar sequence of numbers.

Following are the six bank account numbers maintained by Kagoda at different CRDB Bank branches within the city, which were used to steal the billions of shillings from the EPA account:

Holland House (A/C No. 01J1021795700), Azikiwe Branch (A/C No. 01J1021795701), Tower Branch (A/C No. 01J1021795702), Kijitonyama Branch (A/C No. 01J1021795703), Lumumba Branch (A/C No. 01J1021795704), and Vijana Branch (A/C No. 01J1021795705).

The Kagoda Company General Manager, John Kyomuhendo, is understood to have given written instructions to the central bank on several occasions to credit the above-listed bank accounts with large sums of money based on forged deeds of assignment documents.

Government officials say a fresh probe is already underway into the Kagoda company, but investigators are reportedly facing an uphill task in unraveling the mystery.

Influential personalities linked to the suspected shell company are believed to have so far managed to stifle any meaningful investigation into the firm, thanks to what is described as a complex web of financial power and political clout.

It remains to be seen if the new investigation will yield any tangible results, particularly after the previous inquiry by the EPA scandal probe team led by Attorney General Johnson Mwanyika apparently failed to expose the real Kagoda culprits.
 
Hivi si uchaguzi uliahirishwa? Walijuaje kama Jumbe atakufa ili watumie fedha za Kagoda katika uchaguzi baada ya uchaguzi kuahirishwa?

KUFUATIA KIFO CHA MGOMBEA MWENZA CHADEMA: Uchaguzi Mkuu sasa Desemba 18
 
Kama ni kweli hizo pesa CCM walipanga kuiba kwa ajili ya uchaguzi, kweli wangechukua siku tatu kabla ya uchaguzi wenyewe? Siku tatu zingesaidia nini? Walizigawa lini kwenye majimbo husika?

Labda waliiba ili kulipa madeni. Vinginevyo timeline ni kama hai make sense.

Hivi uchaguzi uliahirishwa tarehe ngapi? Kama walichota baada ya uchaguzi kuahirishwa, hapo ina make sense.

Huenda wajanja wachache walitumia vurugu za kwenye uchaguzi ili kutuibia.
 
Back
Top Bottom