Kagoma kutoka Getho anataka kuolewa. Msaada tafadhali

Sikia mida ya jioni mtoe out kwenda kula sehem alaf baada ya kunywa vinywaj viwili vitatu mtoroke hapo hapo usirudi geto lala hata guest au kwa mwana siku 2..... hawez kuja kuvunja mlango
 

Kama haondoki ondoka wewe mwachie nyumba, akisikia njaa ataenda kwao tu.
 
Kwani shida iko wapi? Si mpaka hapo ulishamuoa,
au unadhani kuoa ni zile sherehe?
wee mwambie akuonyeshe kwao ukatoe mahari.
 
Mkuu ungetaja na jina lako halisi japo uweke na kapicha na maeneo unayoishi na picha ya huyo binti pia bila kusahau na namba ya simu jina la baba wa huyo binti. ili tuweze kukusaidia dah nakuonea huruma kweli
 
Hahaaa pole mkuu. hii ilishawahi nitokea ilibaidi niombe nguvu kwa washkaji zangu kama watatu hivi ndipo tulifanikiwa kumtoa[emoji13][emoji24][emoji24]
 
1.mzee ex-military
2. form 5

daah sijui nikushauri nini
 
Ulizoea kula na kusepa eeeeh, sasa osha vyombo ulivyolia weka kabatini kwa matumizi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…