Kagoma kutoka Getho anataka kuolewa. Msaada tafadhali

Kagoma kutoka Getho anataka kuolewa. Msaada tafadhali

Jiandae na maisha ya mahali salama.....jela.
 
Mm nakushaur kwanza kubali kosa kwamba umelitenda,,,Pili tafuta watu wazima waongee nae wamshaur!! Ikishindikana bas wazaz wenu pande zote mbili mkae mkubaliane ikibid uwalipe fidia uoe jumla,,,suala la kutokuwa tayar kuoa cdhan kama itakuwa busara kumtelekeza
 
Hahah kabiz funguo kwa mwenye nyumba mwambie vyombo utaijia sku yoyote mkataba umeishia apo
 
Wakuu habarini..
Naandika uzi huu nikiwa nimelala mzungu wanne na mtoto wa kike{mwanafunzi} yupo likizo kidato cha 5 toka jana..,baada ya kumgegeda of course dozi ilikua bomba, mida ya saa6 usiku nikamwambia nimrudishe kwao akagoma kubwa zaidi anadai anataka nimuoe na shule haendi kisa anasoma arts so hana mwelekeo nikamwambia acha upumbavu wewe...

Nikijua ni utani mtoto aligoma kweli na mpaka sasa bado yupo geto dada yake kampigia simu arudi kadai harudi anaolewa

Wakuu kichwa cha moto maana sijajipanga kuoa na binti tumeongea usiku kucha anadai tutaishi maisha yoyote na mbaya zaidi baba yake ni mwanajeshi mstaafu wakuu hapa nilipo napumua kama ng'ombe anayehasiwa...

Msaada please.. Na nimekoma kutongoza wanafunzi..mtanisamehe kwa uandishi mbovu...
Kwa mwanafunzi,unalo hilo,mbembeleze kwa kumuahidi utakwenda kwao,au mwambie kwa upole aende kuchukua nguo arudi,usimwonyeshe wacwac,akitoka fungal nyumba ondoka,au kabidhi watu waishi,ila ukimtoa kwa nguvu dadake akienda police umekwisha
 
Back
Top Bottom