Kagoma kutoka Getho anataka kuolewa. Msaada tafadhali

Jiandae na maisha ya mahali salama.....jela.
 
Mm nakushaur kwanza kubali kosa kwamba umelitenda,,,Pili tafuta watu wazima waongee nae wamshaur!! Ikishindikana bas wazaz wenu pande zote mbili mkae mkubaliane ikibid uwalipe fidia uoe jumla,,,suala la kutokuwa tayar kuoa cdhan kama itakuwa busara kumtelekeza
 
Hahah kabiz funguo kwa mwenye nyumba mwambie vyombo utaijia sku yoyote mkataba umeishia apo
 
Kwa mwanafunzi,unalo hilo,mbembeleze kwa kumuahidi utakwenda kwao,au mwambie kwa upole aende kuchukua nguo arudi,usimwonyeshe wacwac,akitoka fungal nyumba ondoka,au kabidhi watu waishi,ila ukimtoa kwa nguvu dadake akienda police umekwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…