Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Hata kwangu kuna ongezeko lakini huwezi kutoa wamefunga. Hawa ndio ma IT wa SamiaMi naona salio limeongezeka kwenye account yangu , kuna kama 3M sijui imetoka wapi
Yes ata kwangu pia kuna laki 7 siioniZaidi ya milioni siioni kwenye akaunti yangu ya CRDB.
Mdau kagua na wewe salio lako usije ukawa upo hujui kinachoendelea.
Kesho pakikucha tu natia mguu hapo Holland branch…
Mimi sioni zaidi ya Laki 8😢Zaidi ya milioni siioni kwenye akaunti yangu ya CRDB.
Mdau kagua na wewe salio lako usije ukawa upo hujui kinachoendelea.
Kesho pakikucha tu natia mguu hapo Holland branch…
Kuzichota sasa ndo sindimba....Ngoja niscreenshot niwaonyeshe balance, msije kukimbia tu maana digits zipo 9
🤣🤣🤣🤣 kuna elf hamsini yangu navoichungulia kila saa hadi wenyewe watakua wanaona huruma kuigusa.Ina buku 2 ile ile
Mkuu hii ni kweli tumepigwa?Wamepigwa kitu kizito..toka ijumaa account haifanyi kazi
HujanielewaKuzichota sasa ndo sindimba....
Nieleweshe mpwa kwa manufaa ya viumbe wengine.Hujanielewa
Hongera mkuu kwa kuwa na million kwenye accountZaidi ya milioni siioni kwenye akaunti yangu ya CRDB.
Mdau kagua na wewe salio lako usije ukawa upo hujui kinachoendelea.
Kesho pakikucha tu natia mguu hapo Holland branch…