Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,380
- 68,484
Akili za kimaskini uziache. Elvis ana B24 huko benki ya kijaniHongera mkuu kwa kuwa na million kwenye account
Akili za kimaskini uziache. Elvis ana B24 huko benki ya kijaniHongera mkuu kwa kuwa na million kwenye account
Oya oya weeeHongera mkuu kwa kuwa na million kwenye account
Mizaha yenu kwenye issue nyeti ndiyo imewafikisha hapa mlipoMi naona salio limeongezeka kwenye account yangu , kuna kama 3M sijui imetoka wapi
Hii weekend walivyozima mitambo si utakua ulichanganyikiwa🤣🤣🤣🤣 kuna elf hamsini yangu navoichungulia kila saa hadi wenyewe watakua wanaona huruma kuigusa.
Kwangu Kuna 18+ M sijui zimetokea wapiZaidi ya milioni siioni kwenye akaunti yangu ya CRDB.
Mdau kagua na wewe salio lako usije ukawa upo hujui kinachoendelea.
Kesho pakikucha tu natia mguu hapo Holland branch…
Kumbe wenzetu mna account 🦅Ina buku 2 ile ile
Njoo nikupe White Crown hapa kwa 15M, hizo 18M ukizitoa zitaingia zingine mara mbili yake, ikizitoa zitaingia zingine tena mara mbili yake,Kwangu Kuna 18+ M sijui zimetokea wapi
Mizaha ipi?Mizaha yenu kwenye issue nyeti ndiyo imewafikisha hapa mlipo
Na NMB Tena?Hata NMB kuna tatizo la kupungua pesa kwenye account.
Hivi wanataka tuweke pesa kwenye magodoro kama wasukuma?
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 kuna elf hamsini yangu navoichungulia kila saa hadi wenyewe watakua wanaona huruma kuigusa.