Kagua salio lako CRDB, kuna pesa hazionekani kwenye akaunti

Aisee.... Mambo kama haya ndio yanaharibu Taswira ya Benki. Kudos kwake Dr. Charles Kimei aliweza kumaintain Sana hii Benki ikawa ya kuaminika Sana
 
Zaidi ya milioni siioni kwenye akaunti yangu ya CRDB.

Mdau kagua na wewe salio lako usije ukawa upo hujui kinachoendelea.

Kesho pakikucha tu natia mguu hapo Holland branch…
Kwangu Kuna 18+ M sijui zimetokea wapi
 
Kwangu Kuna 18+ M sijui zimetokea wapi
Njoo nikupe White Crown hapa kwa 15M, hizo 18M ukizitoa zitaingia zingine mara mbili yake, ikizitoa zitaingia zingine tena mara mbili yake,
 
🀣🀣🀣🀣 kuna elf hamsini yangu navoichungulia kila saa hadi wenyewe watakua wanaona huruma kuigusa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…