Kahama: Diamond atua kwa helikopter . Amwaga noti 'live'

Huyo Diamond atakuwa live on stage na huku asoma post Yako JF ili aweza fanyia kazi ushauri huu wako?.. maana ni yeye ume mu address as individual si WBC Wala Wasafi Media
 
Serikali kuweni makini basi ...

ohhh...

Vijana wameamua kufanya kazi... Bado mawaziri mpo wazee... Amkeni. Watanzania wanapenda mziki.
 
Halafu nchi hii ilivyo ya ajabu utashangaa mpaka sasa zimamoto hawajafikawatu wanaendelea kuungua tu... Serikali ya CCM haina huruma kabisa na wananchi wake.
hiyo miundombinu hadi zimamoto ifike,,watakuwa wamekwisha teketea wote........
 
Halafu nchi hii ilivyo ya ajabu utashangaa mpaka sasa zimamoto hawajafika eneo la tukio watu wanaendelea kuteketea tu... Serikali ya CCM haina huruma kabisa na wananchi wake.
KUteketea kivip Mkuu
 
Duhh....

Ila Wa TZ Tunapenda mzikiii.

show hili lipo konki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…