Kahama: Diamond atua kwa helikopter . Amwaga noti 'live'

Kuna jamaa kasema gari la zima moto sijui litapiga😁😁😁 watu wapo high kwenye show zimamoto la nini labda kumwaga maji uwanjani ili kupunguza vumbi
 
Kuna jamaa kasema gari la zima moto sijui litapiga😁😁😁 watu wapo high kwenye show zimamoto la nini labda kumwaga maji uwanjani ili kupunguza vumbi
hahahaaa....

Ninawacheki ma afande hapa...nao wako pombe tuuhh
 
Anhahhaa... Diamond kaomba mrembo mmoja aje kwa stage .

akatokea mbinti mmoja aitwa Sada.

ila nahisi huyu dem aliandaliwa..
Mondi kawa na mzuka sanA
 
Maskini poleni kwa ajali ya moto Mungu awalaze mahali pema peponi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Noma sana jamaa huyu...na alitua na helikopta hapo uwanjani akitokea Dar.
 
Najiuliza...!!!
Kwanini wamejipanga namna hii...huko Kahama.
!!!??

Sasa kuna ngoma yA kienyeji yapigwa hapa..!
 
Halafu nchi hii ilivyo ya ajabu utashangaa mpaka sasa zimamoto hawajafika eneo la tukio watu wanaendelea kuteketea tu... Serikali ya CCM haina huruma kabisa na wananchi wake.
Teh ....

Teh ...

Nalala

Ahahaahahaa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji50][emoji50][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…