TANZIA Kahama: Mwenyekiti wa Wazazi (CCM) kata ya Ulowa ajiua kwa kujipiga risasi

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ( CCM) kata ya Ulowa wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Safari Manjala amejiua kwa kujipiga risasi shingoni asubuhi ya leo.

Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga limethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo chanzo chake hakijajulikana.

View attachment 2743258

Credit: ITV
There is something to do with tobacco payments delay mkulima mkubwa wa tumbaku enzi na enzi hawezi jitoa uhai burebure Kuna shida apo
 
Acheni kufuga Majini ( kumiliki bunduki) jini ( bunduki)linataka damu. Tu lilikosa damu kwa mtu mwingine litaitaka damu yako.

R.i.p.kwa Marehemu n.a. poleni wafiwa
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ( CCM) kata ya Ulowa wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Safari Manjala amejiua kwa kujipiga risasi shingoni asubuhi ya leo.

Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga limethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo chanzo chake hakijajulikana.

View attachment 2743258

Credit: ITV
Chanzo cha kifo chake n kujipiga Risasi ya shingo
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ( CCM) kata ya Ulowa wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Safari Manjala amejiua kwa kujipiga risasi shingoni asubuhi ya leo.

Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga limethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo chanzo chake hakijajulikana.

----
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga limesema linaendelea na uchunguzi kufuatia tukio la Mkulima Safari Manjala mkazi wa kijiji Ilomelo Kata ya Ulowa katika Halmashauri ya Ushetu mkoani humo kujiua kwa risasi nyumbani kwake leo Septemba 8, 2023.

Akizungumza na GoldFM kamishna msaidizi wa polisi KENNETH MBWANO amewataka wananchi kutokujichukulia sheria mkononi na pindi wanapokuwa na changamoto ni vyema wakatafuta Ushauri.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji hicho Jeffason Ezekia, amesema kwa mujibu wa maelezo ya Ndugu wa marehemu, siku ya jana Marehemu alishiriki shughuli zake za kawaida ikiwemo maandalizi ya Vitalu vya mbegu za Tumbaku (Mabedi) kwa ajili ya msimu mpya wa kilimo, kitendo cha kujitoa uhai alichokifanya leo majira ya saa 2 asubuhi kinaacha maswali juu kilichosababisha kujiua.

Jeffason ameongeza kuwa hatua nyingine za kiusalama zimechukuliwa ikiwemo kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi Ushetu ambalo limefika eneo la Tukio kwa ajili ya uchunguzi ikiwemo kuchukua silaha iliyotumiwa na marehemu na taratibu nyingine za kiuchunguzi.

View attachment 2743258

Credit: ITV
Kausha damu- Mikopo. RIP
 
Safi sana idadi ya wezi wa kura inazidi kupungua
 
Back
Top Bottom